Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Warumi mbona kule umefuta post ,,halaf ufungue uzi umuweke yule mke wa fela ananiua mbavu jamaniii

Mwenzangu yamenikuta uko insta wewe hadi nimebadilisha ID na nimeweka private watu wananitafuta kwa udi na uvumba mmh ni shidaa umbea huu hatr tutakufa mwaka huu, ila msijal wambea wenzangu nikikamatwa nitakuwa shujaa na nyie msiache umbea uko tudumisheni umbea mpaka kifo kitakapotupata hahahah ahaha
 
Nimechekaa balaaaaaa binam
 
Ujue mi nlikuwa nahangaika kujua who's behind of ol ds madness???bt ulipotaja imelda duh yan
baaaass nshapata jib, coz huyu dada ni type ya walala hoi wanaoendeshwa na njaa zao na si taaluma zao

Yani yule ni chakubimbi na msukule wa wema, mi ananiboaga kweli mxiuuuu libaya kama sokwe
 
Kula like 1000 kuna wa2 wakiskia haya maneno yko povu litawatoka m2 hana hata biashara y genge ila kila kukicha kelele 2 umri nao unaenda kizazi cha wahongaji nacho kinapotea,ataja stuka akifika umri w bi chau
 
Kila mtu anaelewa Global P ni team Wema so haina haja ya kuamini habari yao ya kidaku... By the way hivi humu jukwaan kuna anayesoma magazeti ya GP na kuyaamini
 
Ujue mi nlikuwa nahangaika kujua who's behind of ol ds madness???bt ulipotaja imelda duh yan
baaaass nshapata jib, coz huyu dada ni type ya walala hoi wanaoendeshwa na njaa zao na si taaluma zao

Ahahaaa!Imelda Mtema ni mwanamke hodari sanaa!!yupo kila upande,kwenye unafiki yupo,umbea yupo,huruma yupo,ahaha.

Ni mwanaharakati mzuri sana wa mapambano dhidi ya ukatili wa watoto na unyanyasaji wa kijinsia JOYCE KIRIA anamkubali sana Imelda.Lakini si ajabu ukamkuta kwenye kundi la wasichana kama kina wema huku akijitoa ufahamu kwa mijadala ya kitoto kama hii.

Huyo ndo Imelda bwana, tatu mbele tatu nyuma.
 
Hahahhaaaaaa dude u realy a something!!!!! Wakuache miaka 1000000000
 
ahahahahahaaaaaa!!!mimi kila siku nakugongea hodi hutaki kunifungulia ona sasa binam yetu wanavyokuandama!!naiandaa ID mpya ya Insta halafu naku PM ole wako usinifungulie
 
ahahahahahaaaaaa!!!mimi kila siku nakugongea hodi hutaki kunifungulia ona sasa binam yetu wanavyokuandama!!naiandaa ID mpya ya Insta halafu naku PM ole wako usinifungulie

Ntakufungulia yani apa nina followers 280 tu ila balaa limeshaanza wakat wenzangu wana ma followers elfu hamsin ila wala hawazunguliwa khaaa ni shuda nimebadil na ID aseeh
 
Zari mzuri sana kuanzia sura umbo adi akili. Ndo vitu tunataka kwa madem wetu wa bongo kuwa smart.
 
Ntakufungulia yani apa nina followers 280 tu ila balaa limeshaanza wakat wenzangu wana ma followers elfu hamsin ila wala hawazunguliwa khaaa ni shuda nimebadil na ID aseeh

rudia ile ID banah mbona kina usipojipangantakupanga hawakamatwi??wakikumata utashangaa tunakuja kituoni kukuwkea dhamana ukituona hutoamini kama na sisi ni wafuasi wako.
 
Embu jamani acheni mchezo wa kulinganisha Kisosi na Sahani na kusema vyote vipo sawa... Zari habari nyingine bana
 
Ntakufungulia yani apa nina followers 280 tu ila balaa limeshaanza wakat wenzangu wana ma followers elfu hamsin ila wala hawazunguliwa khaaa ni shuda nimebadil na ID aseeh

Sasaa itakuwajee mi nilikua nishaanza kuipend insta
 
We nyani ngabu zari anaumbo gani ni wakawaida sana wala simchukii ashukuru pesa

Ukiondoa miguu Zari ni mkali bana.

Miguu tu ndo labda inahitaji kufanyiwa liposuction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…