Etwege wa leo sio Etwege wa jana. Kweli Ukombozi umefika kwa watu wake Mungu

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake

Etwege ameonesha uanaume asa kwa kukubali ukweli juu ya tatizo la nchinyetu. Alhamdulilah sheikh wangu kadadavua kwa mawanda mapana sana.

Etwege Allah akurehemu na kukuvutia dhambi zako za awali kaka yangu. Umeandika uzi ambao unapaswa ubaki katika mbao za JF kwa muda wa kutosha sana watu waweze pitia kuwosha macho yao.

Nimekusoma kwa kukukodolea macho hasa na kugeuza geuza kurasa kila mara kuangalia ivi huyu muandishi ni Etwege uyu uyu wa ambaye nlimsoma ata kabla sijajiunga jamiiforums?mbona amebadilrika sana? Nimewaza yale ambao maduduwasha huwa wanakuja yetetea umu kuhusu serikali hii je kuna siki yatafunguka akili?

Sheikh wangu Etwege usiache kufanya swala na kuwaombea wengine wafunguke na kuona madhira ambayo serikali hii imewatendea watanzania hawa maskini

Inshallah kuna siku itafika nchi itakombolewa.. KAMA TU WATU WENGI WATAFUNGULIWA MACHO.

Wabillah tawfiq
 
Ni vile tu mrija wake wa ulaji umekatwa. Uzuri hayuko peke yake. Ana wenzake wapo humu nao wamegeuka kuwa watetezi wa CHADEMA ambayo waliitukana miaka michache iliyopita! Na wenyewe leo wamegeuka kuwa wapiga dili na watu wenye vyeti feki kama sisi!

Enzi hizo walitambulika kama MATAGA. Ilikuwa huwaambii kitu. Ikitokea unapingana na sera za Jiwe, walikejeli na kutukana watu hovyo. Hata hawa chawa wa mama ikitokea na wenyewe wameondolewa kwenye kundi la kulamba asali, wataanza kujifanya wana uchungu na nchi.
 
Nilimblock huyo kijana.
 
Upo sahihi kabisa.

Hao wana hasira za kukosa ulaji tu.
 
Etwege wa tutashitakiwa MIGA enzi za MAGU si huyu ,naona labda hajapewa Shavu kwenye sirikali ya SAMUYA.
 
Ngoja awavute mjae maboya nyie.

Uzuri akili zenu kisude sana ndio maama kule mmejaziwa vipenyo mpaka sebuleni ... Jengo lina...... haha
 
Back
Top Bottom