minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kataa misada yote ya wazungu tuone kama hiyo Kodi inatoshaWaondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kataa misada yote ya wazungu tuone kama hiyo Kodi inatoshaWaondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Sababu kubwa za wazungu kuinyima Tanzania misaada na kufikiria kuiwekea vikwazo ni udikteta pamoja na kuminya demokrasia kurudia chaguzi kwa gharama kubwa pasipo sababu ya msingi, kuwapiga Risasi Wapinzani kuwabambikia kesi Wapinzani na unyanyasaji wao wotePride itawaua wakuu,Africa nchi nyingi hazikubali mashoga lakini kwani mnaona wakifatwa??? Kitendo cha kuwasaka watu hao majumbani ni extreme violation ya privacy za watu,,,tukubali tulikosea,,,na aliyeanzisha hio search ange step down kuliokoa Taifa,by the way mmeshikwa pabaya maanake ziko hoja zaidi ya kumi lakini hio ya ushoga ndio top,imemeza nyingine zote,je mnaweza kuzitenga hizo hoja nyingine na ushoga zikawa separate ?? The answer is NO,eti mtakubali MUINAMISHANE ili iwe proof kuwa mna Hehimu haki za binadamu😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊😊😊??????
Anyway I’m glad mmpo katika hii position at least Rais atajifikiria mara mbili maanake alikua anaenda kwa speed kubwa,Mbowe na mwenzie wako Jela na hatujui labda km sio kubanwa majanga yangeendelea kuwa mengi
labda kama hujui bajeti yetu 65 tunategemea wahisani.Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Kuna watu walitaka wanyonye mpaka wanaingia kaburini au afe au mama afe ndio iwe mwisho kunyonya. Program zingine ni pilot tu, kisha tunaachiwa wenyewe. Sasa tutajifunzaje au lini tukisaidiwa maisha yote?!Nafikiri hii ndio sustainability inayohitajika kwa Taifa tuweze kupiga hatua hata kama ni kidogo kidogo kwa step.
kuna wapumbavu wanakejili hiyo misaada, ngoja iondoke ili watu wapate akili. maana upumbavu wa watanzania hauvumiliki, rais na familia yake hata wakienda kutibiwa muhimbili watalazwa VIP na kupewa huduma zote, wewe mwimba mapambio ya kumsifu utafia kitandani hata panadol hutapata.
We nae walewale tu nnaona umeanza kutangaza biashara haramu
Mtaka cha uvunguni sharti ainame . Haya wainame misaada ije kama mvuaLabda mwambie Zitto, mimi sihusiki.
wewe huwezi kuchangia huduma hiyo.acha umasikini Wa akiliLile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.
Hilo ni pigo kwa nchi yetu.
Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Hivi nchi kama Dernmark, Norway, Sweden, Japan, Germany wanafaidika nini toka Tanzania.Wameona hawapati faida time hii, wazungu wana mahesabu makali sana, sijui kwa nn wanawaitaga wahisani wakati ni hizo vitu ni biashara
Umeibiwa nini?Mtu anakusaidia halafu anakuibia kisilence ukimwambia hapana kuniibia eti anajikasirisha! Sasa hapo hujang'amua tu?!
Kwa hiyo kwa maana nyingine Mavunde aliona mbali kuwanunulia Dodoma gari LA kubebea maiti.Wananchi wajiandae kulipia chanjo za watoto.
Sijui ni kiasi gani lakini naambiwa dawa zinazoongoza kwa uaghali ni za:hivi dozi ya ARV huwa ni sh ngapi?
Sijui ni kiasi gani lakini naambiwa dawa zinazoongoza kwa uaghali ni za:
1) ARV
2) Chanjo
3) Kifua Kikuu
4) Saratani
Na zote hizo huwa tunapewa ndiyo maana zinatolewa bure.
Wake wendawazimu wa kushangilia kila kauli ya Rais hata kama ni ya kipuuzi hawana uwezo wa kusaidia kutoa japo panadol za bure kwa kijiji kimoja.
Hawa watu wamedemand vitu vingi sana kutoka serikali yetu..lakini sisi tumesimamia hoja moja tu ya ushoga..mengine tuko kimya..Mbona utawala wa JK ulikuwa hauruhusu ushoga lakini mbona waliendelea kutoka misaada..