Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Hawa wazungu inatakiwa wawe na dabu kwenye mila,tamaduni na desturi zetu haiwezekani kutupa misaada kwa kuvunja utu wetu. Hivi baba mwenye nyumba upewe msaada ili mradi tu uruhusu mwanao awe shoga?
Malalamiko ya nini? Nani kakutuma uombe huo msaada kama huutaki? Jitegemee vinginevyo ukila vya mwanaume mwenzio kubali nawe kuliwa.
 
Vipi nyinyi bakuli linajazwa na nani?
Bakuli la nyumbani kwako hutegemea majirani.

Ili uweze kufanikiwa maishani basi haya mambo matatu ni budi uyazingatie:

JITAMBUE, JIKUBALI, JIPOKEE.
 
Kwahiyo kutembeza bakuli kupo kwenye kundi gani hapo juu?

Anayetembeza bakuli hayo mambo matatu hayazingatii kamwe. Kila wakati atakuwa akilalamika kuonewa.

Utakuwa sasa unajua ni kundi gani la WaTz, na viongozi wao, ambao hulalamika na sasa wanalialia ati EU inakata misaada. Na wewe ni mmoja wao?
 
Herr Muller, ongea na Wajerumani wenzako, tunawahitaji kwa misaada yenu
haaaaaaaa pls tengenezeni mazingira safi ya foreing investors, good laws, good gorverance,good political climate, and then tunakuja, infact hamuhitaji misaada, no no no tunataka kuja kuwekeza ndio tuwape watu ajira nao walipe ushuru ndio serikali ipate hela, hivyo ndivyo taifa husomga mbele kimaendeleo, hakuna taifa ambalo lisawahi kutajirika kwa kupewa hela ya bure, tangu mupate uhuru hapo miaka ya 60s bado mko miongoni wa mataifa masikini zaidi hapa duniani licha ya misaada ambao tunawapa sisi westerners, so tumechoka tinataki kuwaoyesa jinsi ya kuwa taifa tajiri mkuu
 
Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Mkuu hivi unajua Bima ya KFW imeokoa maisha ya kina mama wajawazito na watoto kwa kiasi gani??? Daaaah so sad kwakweli
 
Mimi ni mtanzania
Anayetembeza bakuli hayo mambo matatu hayazingatii kamwe. Kila wakati atakuwa akilalamika kuonewa.

Utakuwa sasa unajua ni kundi gani la WaTz, na viongozi wao, ambao hulalamika na sasa wanalialia ati EU inakata misaada. Na wewe ni mmoja wao?
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Waende tu
 
Back
Top Bottom