Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha asilimia 87 ya bajeti ya wizara ya afya ni kutoka wafadhili saa mshamba wa karomije na chato akusanye toka vyanzo so alivyouwa biashara 200000 zimefungwa katika miaka mitatu zimefungwa yeye anawaita wapiga diliiWizara ya afya ina bajeti kubwaaaaa, hata gap lao halitaonekana, wewe kata nhif tu usiogope huduma zinaendelea
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.
Hilo ni pigo kwa nchi yetu.
Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Kuna nchi kama china ipo tauari kusaidia africa yote kama mna uwezo wa kulipa mnakopa tuMisaada ikiondoka watakaoumia ni wewe na wenzako walalahoi; siyo hawa wanaokekejeli kila sauti ya kutaharadhisha.
Donor country nitamuonaje Magufuli atavyosingizia chadema pale watoto na wa mama watakavyopoteza maishaWaondoke tu na waende na tutabana mpk wakome
We Jamaa ni GENIOUS sana nakukubl sanaNi bure kwa hisani ya watu wa Marekani.
Uzoefu unaonyesha miradi mingi iliyoachwa tuiendeleze ilikufa. Mingi ya hii miradi tunaichukuliaga kama ya wazungu si ya kwetu na wengi hujitahidi kutafuta upenyo “kupiga” hata wakati ambao miradi inaendeshwa na donars wenyewe. Mifano ipo mingi kuanzia miradi ya kilimo na umwagiliaji hadi miradi ya afya… kuweza kuendelea pale walipotuachia inabidi kujikana haswa na ikiwezekana “kutandikana bakora” haswa ku instill nidham na uwajibikaji…Nafikiri hii ndio sustainability inayohitajika kwa Taifa tuweze kupiga hatua hata kama ni kidogo kidogo kwa step.
Nyie watu watu wa lumumba mna matatizo kwa kichwa, mbona mnajificha tu kwenye suala la ushoga wakati Kuna mambo muhimu zaidi ya kumi na mbili? Na hilo la ushoga hatujalazimishwa au wewe hapo ulipo umelazimishwa uwe shoga?Hawa wazungu inatakiwa wawe na dabu kwenye mila,tamaduni na desturi zetu haiwezekani kutupa misaada kwa kuvunja utu wetu. Hivi baba mwenye nyumba upewe msaada ili mradi tu uruhusu mwanao awe shoga?
Vyema waondoke kwa kuwa utajiri wao wameuzoa kwenye nchi zetu hizi na kuziacha maskini. Isitoshe wanatuhitaji zaidi kuliko tunavyowahitaji wao.Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.
Hilo ni pigo kwa nchi yetu.
Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Uhuru hakuna tuna wakoloni wausi iende manake Magufuli na team yake wanazitafunaKumbe walikuwa bado kujitoa??!! Yaani naombea wajitoe haraka...wapuuzi kabisa hao wazungu...Nyerere was right: Misaada inahatarisha uhuru wetu
Mpaka siku wakiondoka woote ndio tutaweza kujitegemea, tumeishi kwenye the so called donors aid comfort zone ndio maana tunashindwa kujitegemea hata kwenye mambo madogo kama kununua vyandarua, let them go, na tutasimama
Usilolijua na kama usiku wa giza.Ndoto za mchana hizo yaani wao wakuhitaji kwa lipi?