Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Weka barua hapa inayoonyesha rais katoa agizo wizara ya afya kuwa tanzania haitaki uzazi wa mpango
Hili linahitaji barua? Wacha aibu zako. Sio wewe uliishangilia sana kauli ya raisi kwamba tufyetue tu watoto?
 
Mkuu hilo ulo lisema la kukaa pamoja na kushauriana ndiyo jambo la msingi
mie nahisi tutafute mpango wa kustopisha hii hali,Tanzania ingekua kwenye uchumi wa kati tungewaacha waende ,ila bajeti yetu I was told inategemea misaada 40%..sasa hapa itakuwaje kila mtu akiondoka,....watanzania tuache ujeuri wa kijinga,watu watakufa kama kuku waliopatwa kideri...tusaidiane mawazo
 
Vipi kuhusu hoja nyingine 14 zilizobakia maana zilikuwa ni 15
Walikuwa wanawaibia miku......ndu yenu!???,Maaana agenda yao ni ushoga na tulipokataaa ndo wanasepa!!
 
Kwani sisi hatuwezi kujitegemea? How yaani. Ni kweli nchi haiwezi kujitegemea? Ni kweli au tumezoeshwa vibaya? Siamini kama hatuwezi kujitegemea. Siamini.
 
Na ajira watapata wapi!?View attachment 974693
Kuna rafiki mzuri hana maneno maneno
Screenshot_20181222_194513.jpeg
 
Kwa nini wanajitoa?

Serikali iqngalie namna ya kuzungumza na hawa jamaa.

Bado hatujawa na uwezo wa kuendesha mambo yetu wenyewe bila misaada yao. Huo ndio ukweli.

Matamko ya majukwaani ya kisiasa hayana uhalisia na maisha yetu huku mtaani.

Tuzungumze na wahisani na wadau wa maendeleo, tuwe na kauli nzuri. Hata wao ni binadam, haiwezekani wanatusaidia ila sisi kila siku ni kuwananga tu.

Hii sio njema kwetu.
Humsikii jinsi anavyowabeza kila siku na kusema tunaweza kuendesha mambo yetu wenyewe?
 
Sawa huamini tumekuelewa
Kwani sisi hatuwezi kujitegemea? How yaani. Ni kweli nchi haiwezi kujitegemea? Ni kweli au tumezoeshwa vibaya? Siamini kama hatuwezi kujitegemea. Siamini.
 
Waache waende kufirana hatutaki na demokrasia sio lazima iwe hiyo wanayitulazimisha wao ya kulea vibaraka wao watuvuruge na wasisahau tz ni nchi huru sio mkoa wa yuropian yuniyoni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepica magoti ukiombaomba kusaidiwa kumtibia mwanao na mkeo
Utakuwa kinda wewe hujui usemalo! Enzi za mbinyo kipindi cha Nyerere disposables zilikuwa zinaoshwa na kuwekwa kabatini, kulikuwa na uhaba Hata wa chumvi, Mzee akaamua kung'atuka!

Unaongea usiyoyajua na ushabiki maandazi huo!
 
Amuulize Mugabe

kuna wapumbavu wanakejili hiyo misaada, ngoja iondoke ili watu wapate akili. maana upumbavu wa watanzania hauvumiliki, rais na familia yake hata wakienda kutibiwa muhimbili watalazwa VIP na kupewa huduma zote, wewe mwimba mapambio ya kumsifu utafia kitandani hata panadol hutapata.
Mijitu sijui ata ina akili gani haimtazami Mtanzania wa chini kama anahitaji hiyo misaada kuliko kawaida mladi imepewa tu buku 7 ya kutetea ujinga.
 
Waondoke tukaze mkanda, vya bure vinaua wanaboa sana na misaada yao
Maelfu walioajiriwa kupitia miradi inayofadhiliwa na USAID, GF, CDC, JICA etc.... Ufadhili huu ukikoma ghafla hakika familia nyingi sana zitayumba.
 
Mtu anakusaidia halafu anakuibia kisilence ukimwambia hapana kuniibia eti anajikasirisha! Sasa hapo hujang'amua tu?!
mawaziri wa CCM ndo wameruhusu wizi kupitia mikataba waliosaini...acheni kudanganya watu
 
Mkuu hayo unayaona wewe mwenye mtazamo huru
Maelfu walioajiriwa kupitia miradi inayofadhiliwa na USAID, GF, CDC, JICA etc.... Ufadhili huu ukikoma ghafla hakika familia nyingi sana zitayumba.
 
Back
Top Bottom