Wewe mama yako na dada yako si utawapeleka ujerumani kwa msaada wa chadema?
Maana nyinyi hili ndio dua lenu usiku na mchana, mnadhani kwa Mbowe,Nyalandu na tundu lissu kujikita huko ubelgiji na kupeleka lukuki ya nyaraka,wakiichochea dunia ituelewe vibaya.
Swali langu ni moja kwenu.
*Hivi mnadhani kwa vikwazo au vyovyote itakavyokuwa huko mbeleni mtakuwa mnamkomoa nani?
Je mnadhani kwa kufanikisha adhma yenu ndio mtashinda uchaguzi 2020 na kuongoza nchi hii.
La khasha! Bali muelewe yatayokwakuta sio mliyoyatarajia fikirieni upya tena sana.
Mungu ibariki Nchi yetu adhimu,Tanzania [emoji1241]