Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Nani kakudanganya kuwa kodi inatosha?Kodi pekee inatosha kulipa mishahara na madeni,angalia bajeti 2018/2019!Yaani bila wahisani basi fedha italipa mishahara na madeni,hakuna pesa itakayobaki kwenda kwenye shughuli za maendeleo!
 
Ndo ujiulize sasa hawa wazungu aanalenga nn kuwafadhiri cdm ili walete vurugu!
Vurugu ipi we dogo ?!

Tz tushukuru tunao wapinzani wavumilivu na wastaarabu. Lakini hata siku moja, wapinzani wakiwa na akili kama wenzao wa CCM basi ujue damu imemwagika. Wapinzani wa Tz hawalipizi visasi !! Hawawazii kulazimisha kuchukuwa madaraka kwa nguvu . Wanatumia siasa na hicho kitu Rais anakiogopa, kwa sababu anajuwa alivyoingizwa madarakani.
 
Waache waende kufirana hatutaki na demokrasia sio lazima iwe hiyo wanayitulazimisha wao ya kulea vibaraka wao watuvuruge na wasisahau tz ni nchi huru sio mkoa wa yuropian yuniyoni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepica magoti ukiombaomba kusaidiwa kumtibia mwanao na mkeo
Tutaona hii jeuri itafika wapi!Halafu Jiwe akijirudi urudi hapa!
 
Hawa wazungu inatakiwa wawe na dabu kwenye mila,tamaduni na desturi zetu haiwezekani kutupa misaada kwa kuvunja utu wetu. Hivi baba mwenye nyumba upewe msaada ili mradi tu uruhusu mwanao awe shoga?
Hahaahhahaaaaa,kwani kipindi cha JK hizo sheria hazikuwepo?????Kwanini hatukuona haya awamu hii wakati sheria zipo miaka nenda rudi?Msipotoshe hapa!
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.

Baada ya kukosa dili kwenye mradi wa Stigler sasa wanajidai kukata misaada. Kumbuka hakuna free lunch, wanakupa vyandarua wanaondoka na mali.
 
A

Acha kudanganya watu mitandaoni

KfW mradi huo umefika mwisho na walituma consultant wao kufanya assessment kwa miradi yote walisupport hapa Tanzania Lengo la kufanya hivyo ni ili kuandaa vipaombele vya next funding ya KfW ambayo inatarajiwa kuanzia June 2019

Kijana acha uongo narudia kijana acha uongo KfW wanarudi tena with new projects in 2018

Unajua n kwannn mataifa yaliyoendelea yaanendelea na yataendelea kufadhili miradi mbalimbali Tanzania?

Dogo usirudie kudanganya tena
KFW unajua maana yake? Wanapataje pesa za misaada?

Achaupotoshaji.

Nafanya na KFW miradi ya maji.



Mmawia
 
Kabisa mkuu, nchi yetu ni huru kabisa..
Tatizo tunapiga kelele nchi ni huru,mbona watu wake hawako huru?Kwanini mnasema hakuna uhuru usio na mipaka?Basi hakuna nchi iliyo na uhuru usio na mipaka pia!Ndio maana ukileta fyokofyoko unashughulikiwa na mataifa!
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Wewe mama yako na dada yako si utawapeleka ujerumani kwa msaada wa chadema?
Maana nyinyi hili ndio dua lenu usiku na mchana, mnadhani kwa Mbowe,Nyalandu na tundu lissu kujikita huko ubelgiji na kupeleka lukuki ya nyaraka,wakiichochea dunia ituelewe vibaya.
Swali langu ni moja kwenu.

*Hivi mnadhani kwa vikwazo au vyovyote itakavyokuwa huko mbeleni mtakuwa mnamkomoa nani?

Je mnadhani kwa kufanikisha adhma yenu ndio mtashinda uchaguzi 2020 na kuongoza nchi hii.

La khasha! Bali muelewe yatayokwakuta sio mliyoyatarajia fikirieni upya tena sana.
Mungu ibariki Nchi yetu adhimu,Tanzania [emoji1241]
 
Wao si wameamua kuwapa chadema ili walete sintofahamu, na cdm navyowafahamu watatafuna kila kitu hawabakizi hata kumbukumbu kisha wanaanza kukutukana, hao wazungu waulizage vitu vingine
Bora tumfuate puttin kama zamani kuliko hawa mashoga wa ulaya na us.
 
Sekta ya afya itaathirika sana. Inategemea sana hawa wafadhili, wewe mwenye kadi ya Bima na unakaa kwenye miji mikubwa sio rahisi kuona haya mambo
 
Back
Top Bottom