Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Kwa nini wanajitoa?

Serikali iqngalie namna ya kuzungumza na hawa jamaa.

Bado hatujawa na uwezo wa kuendesha mambo yetu wenyewe bila misaada yao. Huo ndio ukweli.

Matamko ya majukwaani ya kisiasa hayana uhalisia na maisha yetu huku mtaani.

Tuzungumze na wahisani na wadau wa maendeleo, tuwe na kauli nzuri. Hata wao ni binadam, haiwezekani wanatusaidia ila sisi kila siku ni kuwananga tu.

Hii sio njema kwetu.
Mleta uzi aweke na 7bu walizosema zimewafanya wajitoe
 
Waache waende kufirana hatutaki na demokrasia sio lazima iwe hiyo wanayitulazimisha wao ya kulea vibaraka wao watuvuruge na wasisahau tz ni nchi huru sio mkoa wa yuropian yuniyoni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepica magoti ukiombaomba kusaidiwa kumtibia mwanao na mkeo
Kuna tofauti kati ya propaganda na maisha halisi.
 
A

Acha kudanganya watu mitandaoni

KfW mradi huo umefika mwisho na walituma consultant wao kufanya assessment kwa miradi yote walisupport hapa Tanzania Lengo la kufanya hivyo ni ili kuandaa vipaombele vya next funding ya KfW ambayo inatarajiwa kuanzia June 2019

Kijana acha uongo narudia kijana acha uongo KfW wanarudi tena with new projects in 2018

Unajua n kwannn mataifa yaliyoendelea yaanendelea na yataendelea kufadhili miradi mbalimbali Tanzania?

Dogo usirudie kudanganya tena
Halo ndio wewe muongo unasemawatarudi kufadhili 2018 dah Magufuli kaponzwa na ma Makonda
 
Chadema shangilieni sasa
Ccm ya Magufuli donor country ha ha jeshi ni kwenyewe anadai Wapeleke gawio how jeshi ni service wanapelekaje pesa hazina ngoja siku wamlaze mazima hata nyama isionekane
 
Wacha wajitoe wote tuone hii umbabe wa jiwe utamufikisa wapi, hakuna mtu pubavu katika hii dunia kaa yule mtu anafikiria anajua kila kitu.

Next itakuwa USA
Siku yaja utalamba matapishi yako, wazungu si wajomba zako kaa uelewe.
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Waondoke tu na waende na tutabana mpk wakome
 
Back
Top Bottom