Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Sasa mbona bakuli mnalipelekaga kila kukicha au unajitoa akili makusudi?
 
Ebu tutajie mradi wowote mnao tumia ela zenu wenyewe bila kutembeza bakuli?
 
kwahiyo wewe kwa akili zako unadhani ni sawa wapinzani na waandishi wa habari kunyongwa na kufungwa??
 
Uhuru hakuna tuna wakoloni wausi iende manake Magufuli na team yake wanazitafuna

ushahidi, please......au hisia zako zinakupeleka useme hivyo??!! How clean are you kwenye 'kitengo' chako!!??
 
Vipi kuhusu bakuli hampeleki tena?

Wewe mwenzetu, Ndugu yetu , comrade Mmawia ni wanchi gani?! Pengine ni wa Msumbiji, maana unazungumza lugha ya 'hampeleki'
 
Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Upo sahihi, utu wetu uko wapi? Binadamu anahitaji oxygen, maji, tiba na chakula vingine ni ziada tu. Hata wakibana hivyo vyote muhimu tunaweza vipata bila shida
 
Uraia wangu haukuhusu cha msingi tujadili mada iliyopo mezani
Wewe mwenzetu, Ndugu yetu , comrade Mmawia ni wanchi gani?! Pengine ni wa Msumbiji, maana unazungumza lugha ya 'hampeleki'
 
kwahiyo wewe kwa akili zako unadhani ni sawa wapinzani na waandishi wa habari kunyongwa na kufungwa??

Kwa wapinzani na waandishi wa habari kunyongwa na kufungwa siyo sahihi kabisa...kwa mwananchi wa kawaida kunyongwa na kufungwa siyo sahihi kabisa...Lakini at the same time and along the same lines kwa 'msaliti' kwa maana ya 'traitor' (if proved so) bila kujali kuwa huyu ni mpinzani, mwandishi wa habari, mwananchi wa kawaida, askari, mwanaharakati, mtetezi wa haki za binadamu, mmachinga, mwanasiasa, profesa na kadhalika kufungwa na kunyongwa ni halali (kama sheria za nchi zinasema hivyo)...Kuwa mwandishi wa habari au mpinzani siyo joho la kukufanya ukiuke sheria za nchi au kuwa msaliti..
 
Uraia wangu haukuhusu cha msingi tujadili mada iliyopo mezani

Kama unazungumzia 'hampeleki' kwa maana wewe unajitoa as if siyo Mtanzania ni lazima uraia ugusiwe hapa..
 
Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Nakubaliana na wewe. Lakini yapo masharti mengine yana manufaa kwetu wenyewe. Chanzo kimojawapo cha umasikini wetu ni kukosa utawala bora (kwa mapana yake). Sasa anayekusaidia akikwambia anataka uwe na utawala bora kuna ubaya?? Ni kama wewe umsaidie mtu hela ili alishe familia yake halafu baada ya kumpa pesa umkute baa kalewa chakali....utaendelea kumsaidia?? Jibu linaweza kuwa NDIO lakini kwa hakika utaweka masharti fulani ili kuhakikisha pesa inaenda kununua chakula cha wanae na si pombe/bia. Unaweza pia kujaribu "kumshauri" kuachana na pombe maana ndio chanzo cha umaskini wake. Sasa huyu unayemsaidia akisema hataki "masharti" yako, unafanyaje?? Utaendelea kutoa pesa zikanunue pombe?

Muhimu ni kutumia busara katika maamuzi yetu.
 
Tatizo ni je lile bakuli lenu mtampelekea nani tena?
Kama unazungumzia 'hampeleki' kwa maana wewe unajitoa as if siyo Mtanzania ni lazima uraia ugusiwe hapa..
 
nani anayethibitisha kuwa huyu ni msaliti na kutoa adhabu?
 
Upo sahihi kabisa ingawa kuna watu wataona umewakwaza
 
nani anayethibitisha kuwa huyu ni msaliti na kutoa adhabu?

Sheria zilizopo ndizo zitakazoainisha ni nani anapaswa kuthibitisha...simple and clear...kwenye masuala ya msingi, hakuna siasa..sheria ziheshimike, kwisha...
 
Acha ujinga , labda kama hujui bajeti yetu 65 tunategemea wahisani.
Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019, ni 32 trilion uliza Misaada ya wafadhili ni trilion ngapi , Uliza matumizi ya kawaida ni bei gani,Uliza Matumizi ya Maendeleo ni bei gani ukijua haya uwezi kuongea vimaneno vyenu Kenya wanajiweza kiuchumi bajeti yao 100% ni pesa yao wakati wakupitsha baje mzigo unakua mezani sio wakudunduliza na bado wanaheshimu mchango wa wafadhili laki hapa bongo bajeti yakufikirika Sh20.468 trilioni kwenye matumizi ya kawaida sawa na asilimia 63 ya bajeti yote.hatuwezi kwendelea adi tujue hesabu, ukipitia report za CAG utasikia Serikali kwa ujumla imepata Hati Chafu. Ukaguzi wa kwanza wa makusanyo na matumizi ya kibajeti ya Serikali ya awamu ya tano, imeonyesha kuwa, kwa ujumla, Serikali ya Jamhuri ya Muungano imepata Hati Chafu Watu wanakuja hapa na kupotosha kodi za kero angalia matuzimizi mtu anakuja hapa anasema hatutaki misaada.
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Gharama zimezidi huko ruhusa ya kufyatua watoto imetolewa, na ushoga hatuendekezi b
 
Nonooo lkn siyo kwa level wanayoifanya. It's coz wana agenda yao.

kwahiyo wewe kwa akili zako unadhani ni sawa wapinzani na waandishi wa habari kunyongwa na kufungwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…