Germany walijifunga hawakufungwa ..Hawa mabitozi kina mbappe hata sijui waliwafungaje wajerumani
Hata kante na yeye kacheza utopoloAmekuwa na michuano mibovu sana
Hahahaha wataelewa taratibu tu mkuu ngoja wapunguzane kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili kombe ni la denmark,we ngoja kesho tena Germany aage afu uone[emoji23][emoji23]
Cc Ollachuga Oc
Italy Kama Austria waliwasumbua tu Hawa Denmark watajilia tunda fresh tu..Dsh inawezekana. Kwa ule mpira hata mmm naamini. Nawasapot kwa kweli. Ila Italy kiboko yao, hawatoboi pale.
Unamuachaje Denmark nyuma..Hii ni michuano ya ma underdog
Tusije kushangaa Sweden akimuadhibu England/Germany robo fainali na nusu fainali ikawa hivi -
Belgium v Switzerland
Czech v Sweden
Mim nataka Sana Italy atolewe Yani nitakuwa na furaha Sana Kama Portugal alivyoburuzwa njeNatamani Sana Belgium atolewe na Italy, Naomba iwe hivyo.
Like kundi lilikuwa overrated sanaImagine lile kundi F la kifo imebaki Ujerumani pekee, naye anaweza akaaga
Mbappe kukosea mechi moja tu aimanishi kwamba ni m'bovu mkuu.France Benzem ameonesha maturity kubwa sana na amewasaidia sana hadi hapa, hakosi kizembe, ile movement ya goli la 1 alivyodundisha mpira miguu ikiwa kwenye rabona style inatuonesha uwezo wake..... Wenyewe wanasema mvinyo unavyozidi kulala ndio unavoongezeka ubora.....
Pogba what a player aiseh, japo kutokukaba kumecost timu goli la 3 kwani mpira amenyang'anywa yeye, ila passing zile zaidi ya 4 kwenda kwa mbappe akiwa eneo zuri akashondwa kutumia.....Top bin yake ni moja ya magoli matamu sana.....anastahili kuuzwa paun mil 80 na zaidi.....
Mbappe awe serious hayupo hata nusu ya Neymar yule wa barcelona, anakazi ndefu sana nje ya mbio sio mzuri anakosa one to one nyingi, hata game na portugal alikosa goli la wazi na Rui patricio.....eti ndio timu itoe paund mil 200 hahahaha
Wamatumbi wenzetu wametuangushaWazungu bwana ;
Wazungu ni wazungu tu,
Ukiangalia timu ya France na Uswizi utapata majibu,
Halafu Kuna watu wanafikiri watawazidi akili wachina Mradi wa Bagamoyo.
Thubutu.
Penati yoyote anakosa...Mbappe kukosea mechi moja tu aimanishi kwamba ni m'bovu mkuu.
Nasemaje.. ma underdog mwisho wao umefika.. nusu fainali wanapita Spain,Belgium,dermark, german
Wachina ni wazungu!!????Wazungu bwana ;
Wazungu ni wazungu tu,
Ukiangalia timu ya France na Uswizi utapata majibu,
Halafu Kuna watu wanafikiri watawazidi akili wachina Mradi wa Bagamoyo.
Thubutu.
Mdogo mdogo wanywa divai tunachukua ndooTunaomba wale waliosema Italy wapo na kundi dhaifu wajitokeze watuambie kipi kilichomkuta France kwa uswisi ambao walikuwa kundi moja na Italy