Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

France Benzem ameonesha maturity kubwa sana na amewasaidia sana hadi hapa, hakosi kizembe, ile movement ya goli la 1 alivyodundisha mpira miguu ikiwa kwenye rabona style inatuonesha uwezo wake..... Wenyewe wanasema mvinyo unavyozidi kulala ndio unavoongezeka ubora.....

Pogba what a player aiseh, japo kutokukaba kumecost timu goli la 3 kwani mpira amenyang'anywa yeye, ila passing zile zaidi ya 4 kwenda kwa mbappe akiwa eneo zuri akashondwa kutumia.....Top bin yake ni moja ya magoli matamu sana.....anastahili kuuzwa paun mil 80 na zaidi.....

Mbappe awe serious hayupo hata nusu ya Neymar yule wa barcelona, anakazi ndefu sana nje ya mbio sio mzuri anakosa one to one nyingi, hata game na portugal alikosa goli la wazi na Rui patricio.....eti ndio timu itoe paund mil 200 hahahaha
Mbappe kukosea mechi moja tu aimanishi kwamba ni m'bovu mkuu.
 
Ipo hii tu Mkuu. Ya kushangaa sijaiona
CgAGVmDaRPSACvISAB8VuwJak_M155.gif

Numbisa tunaiomba hii
 
Team portugal bado hatujaondoka hivyo tutawapa lift team France turudi zetu manyumbani.

Benzema nuksi sana bora butu giroud hafungi ila anatoa chance kwa wenzie kufunga badala yake😂😂😂😂

dos.2020 Benzema anaomba lift kwa CR7 huko
 
Siku hizi hakuna mnyonge kwenye euro ,vigogo wote wanagogolewa .

France out

Portgual out

Belgium naumuona final
 
Back
Top Bottom