Yaan nlikua uhakika timu mbili hapo lazima zitoboe nusu fainali ila ndo hivyo...bado naamini Italia ataniteteaID yako mkuu ipo mikonono mwa Italy
Sema Italy hata mm nampa nafas wanacheza mpr safi sana na kama team..lkn siwa underestimate Denmark hata kdg wale vjn wanacheza kama team pia na ukizingatia yaliyo wakuta game ya kwnz na kupoteza game 2 za kwnz.
Wale Wa Denmark tuendelee kujuana ..sisi ni watu wa kimya kimya.Wale Wa Denmark tujuane mapema.
Yeah tunakwenda kubeba Euro bila wao kujua.Tuko mbele kwa goli 1 sasa
Sisi hatuna majina makubwa Sana Wala hatuna Cha kupoteza, tunaitaka Euro kwa heshima ya Eriksen.Hawa Denmark washakuwa tatizo sugu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]Denmark mkeka wangu unasoma kuwa mtafika fainali, chonde chonde msiniangushe..View attachment 1839095
Kwani England ajaahi beba hii zaga?Mafanikio ya England katika michuano ya Euro ni kufika Nusu Fainali mwaka 1996 walipokuwa wenyeji
Ile aliyotoka Croatia 1-1 vip au ilikuwaje?England hajaruhusu goli katika michuano hii
Croatia tulimpiga goli moja kwa bila.Ile aliyotoka Croatia 1-1 vip au ilikuwaje?