Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Wachambuzi wengi hawaizungumzii Denmark, ila kesho itakuwa na maajabu
Haha mkuu vjn wa Malkia hawatak kbs kusikia wao wanasema wanaiona final na It's Comimg Home..mwnyw nishasema tangu mwanzo likitokea la kutokea kesho Denmark akashinda kwng sio surprise maana naheshim sana uwezo wa Denmark kucheza kama team..although kwny makaratas mpr unaonekana umeisha mapema lkn in Football wao wanasema wnyw wa lugha yao..it's not over until it's over.
 
Spain ya sik iz imebadilika kbs kimfumo ukiangalia hakuna tena tiktaka saiv wanacheza mpr wa pass 1 2 nyngne wako goalini..kwhy hata kukaa na mpr leo sijui kama watamiliki sana kiivo lkn shda ya Spain ambayo naiona kubwa leo na zile striker zake za kina Morata ambazo had afunge anatk Chance 3 au 4 asee kwa Italy wakichezea bahat wajue kbs wanatoka mapema..inabid washambuliaji chance chache watakazo zipata wawe very clinical kumalizia otherwise watajuta leo..na Kocha Enrique anajua kbs yuko under severe pressure back at home in Spain kwa kuanzia na decisions zake tu za kuchagua kikosi na decisions ngumu kama za kuendelea kubaki na Morata pa1 ya kua ni m2 wa kukosa sana magoal...ni Bonge la Game leo pa1 wengi tuko Italy lkn spain ataleta Tough test sana kwa The Azzurri..mda ni hakimu tusbr tu.
 
Amini usiamini, Spain watashinda then atakutana na England atapigwa then England watainua mikono yenye kombe juu
 
Spain hawana striker lakini katikati bado wapo vizuri.

Top 3 ya wachezaji waliopiga pasi nyingi kwenye box Euro toka michuano Ianze yote ina waspain, pedri, Alba na Bosquet.

So far spain nawaona kama Arsenal, hawatabiriki kabisa siku unadhani wanafungwa ndio wanashinda.

Leo Morata kama kaamka vizuri mapema tu Italy wanaondoka.
 
Game yao ya kwanza dhidi ya aweden walipiga passes more than 900+. Ball possession walikuwa na 85%. Hii game kwa sare tasa.

Boda wana zile tabia za tiktak hawa jamaa. Kwa forward za aina ya Morata spain hawawezi kuifungua backline ya italy. Labda wategemee magoli kupitia set pieces.
 
Nategemea game ya kuburudisha ukizingatia hatua timu hizi mbili zilipofika. Nipo na mshindi wa leo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…