Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,741
Pamoja sana mkuuTukutane hapa saa 4 usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuuTukutane hapa saa 4 usiku
Haha mkuu vjn wa Malkia hawatak kbs kusikia wao wanasema wanaiona final na It's Comimg Home..mwnyw nishasema tangu mwanzo likitokea la kutokea kesho Denmark akashinda kwng sio surprise maana naheshim sana uwezo wa Denmark kucheza kama team..although kwny makaratas mpr unaonekana umeisha mapema lkn in Football wao wanasema wnyw wa lugha yao..it's not over until it's over.Wachambuzi wengi hawaizungumzii Denmark, ila kesho itakuwa na maajabu
Spain atashindaItaly a.k.a wana Azzurri tupo pamoja, nipigie hao Spain
Spain ya sik iz imebadilika kbs kimfumo ukiangalia hakuna tena tiktaka saiv wanacheza mpr wa pass 1 2 nyngne wako goalini..kwhy hata kukaa na mpr leo sijui kama watamiliki sana kiivo lkn shda ya Spain ambayo naiona kubwa leo na zile striker zake za kina Morata ambazo had afunge anatk Chance 3 au 4 asee kwa Italy wakichezea bahat wajue kbs wanatoka mapema..inabid washambuliaji chance chache watakazo zipata wawe very clinical kumalizia otherwise watajuta leo..na Kocha Enrique anajua kbs yuko under severe pressure back at home in Spain kwa kuanzia na decisions zake tu za kuchagua kikosi na decisions ngumu kama za kuendelea kubaki na Morata pa1 ya kua ni m2 wa kukosa sana magoal...ni Bonge la Game leo pa1 wengi tuko Italy lkn spain ataleta Tough test sana kwa The Azzurri..mda ni hakimu tusbr tu.Kumkosa Spenizzola ni pigo kubwa kwa italia. So far jamaa kaupiga Sana. Alikuwa msaada mkubwa kwa kupandisha mashambulizi.
Spain leo wataambulia kukaa na mpira. Sioni kama wana uwezo wa kufungua backline ya italia. Hiii game italia wanashinda kwa 1-0
Spain hawana striker lakini katikati bado wapo vizuri.Spain ya sik iz imebadilika kbs kimfumo ukiangalia hakuna tena tiktaka saiv wanacheza mpr wa pass 1 2 nyngne wako goalini..kwhy hata kukaa na mpr leo sijui kama watamiliki sana kiivo lkn shda ya Spain ambayo naiona kubwa leo na zile striker zake za kina Morata ambazo had afunge anatk Chance 3 au 4 asee kwa Italy wakichezea bahat wajue kbs wanatoka mapema..inabid washambuliaji chance chache watakazo zipata wawe very clinical kumalizia otherwise watajuta leo..na Kocha Enrique anajua kbs yuko under severe pressure back at home in Spain kwa kuanzia na decisions zake tu za kuchagua kikosi na decisions ngumu kama za kuendelea kubaki na Morata pa1 ya kua ni m2 wa kukosa sana magoal...ni Bonge la Game leo pa1 wengi tuko Italy lkn spain ataleta Tough test sana kwa The Azzurri..mda ni hakimu tusbr tu.
Na wakipita ndio mpira huo Mkuu!!!!Safari ya spain imeishia hapa asanteni kwa kushiriki
[emoji23][emoji23][emoji23] labda na njaa, pale hakuna timuSpain atashinda
Game yao ya kwanza dhidi ya aweden walipiga passes more than 900+. Ball possession walikuwa na 85%. Hii game kwa sare tasa.Spain ya sik iz imebadilika kbs kimfumo ukiangalia hakuna tena tiktaka saiv wanacheza mpr wa pass 1 2 nyngne wako goalini..kwhy hata kukaa na mpr leo sijui kama watamiliki sana kiivo lkn shda ya Spain ambayo naiona kubwa leo na zile striker zake za kina Morata ambazo had afunge anatk Chance 3 au 4 asee kwa Italy wakichezea bahat wajue kbs wanatoka mapema..inabid washambuliaji chance chache watakazo zipata wawe very clinical kumalizia otherwise watajuta leo..na Kocha Enrique anajua kbs yuko under severe pressure back at home in Spain kwa kuanzia na decisions zake tu za kuchagua kikosi na decisions ngumu kama za kuendelea kubaki na Morata pa1 ya kua ni m2 wa kukosa sana magoal...ni Bonge la Game leo pa1 wengi tuko Italy lkn spain ataleta Tough test sana kwa The Azzurri..mda ni hakimu tusbr tu.
Kumekucha Wembley
Mkeka bado unapumua?Ngoja nikunjue jamvi hapa, Nusu saa to kick offView attachment 1843775
Safari ya spain imeishia hapa asanteni kwa kushiriki