Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Hii Team siku Messi akiachana nayo mazima watakuja kumkumbuka sana
Sijui kwanini huwa hawajitumi wanamtegemea messi pekee
Huyu Aguero akiwa city ni tofauti na Argentina Why?
Napataga hasira sana

Messi ni moja katika matatizo makuu ya timu yao, Yeye anachangia kwa asilimia kubwa timu kuwa haieleweki
 

Mkuu sasa ulitaka Dybala afanye nini na ameachwa kwenye kikosi cha timu?
 
Dada yangu Numbisa huu uzi hujautendea haki. Kupita bila zile gif zako sio safi. Leo usituangushe wakati chamdoma watakapokuwa wakiadhibiwa. Ujue zile gif zimekuwa kama Trade mark yako😁😁😁

Numbisa baada ya Penaldo kufungishwa virago mudi ya Euro imempotea kabisa 😂😂😂

Hebu njoo huku dada tunataka goli la Chiesa la jana tujikumbushe raha
 
Huwa naweka mbona. Kwenye ushabiki sinaga uadui wa timu pinzani ndo maana kila uzi wa football huwa naweka GIF za magoli yao

Akifunga jingine ntaweka GIF za jana ninapotolea adimu sana mpaka uziwahi mechi zikiwa laivu
Numbisa baada ya Penaldo kufungishwa virago mudi ya Euro imempotea kabisa 😂😂😂

Hebu njoo huku dada tunataka goli la Chiesa la jana tujikumbushe raha
 
England ni heri wakubali yaishe waage mashindano leo, Wakileta ubishi Fainali wanakwenda kuaibika na kuwaaibisha Royal family na ma Sir wao watakaojitokeza uwanjani kwa confidence ya kudanganywa na media zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…