Siste Numbisa utakuwa umelala. Kwa niaba yako mzigo huu hapaView attachment 1845301
Kocha wa kwanza kushinda mataji matatu makubwa kwa msimu mmoja akapewa heshima yakeIvi Ferguson ndio amepewa U- Sir kwa sababu ya makombe?
HahahahAhsubuhi hii waingereza sauti zimewakauka kwa makelele kama vile wamechukua kombe.
hawana tofauti na nguruwe aliyeona kopo la makombo...🤔😉 kelele balaaah
Daily mail ni kama Uwazi ama ijumaa, ukienda sehemu yoyote watu Wana discuss vitu serious utaona limekua banned.
Haya bana..
[emoji1022] Involved in the first goal, scored the all important second and made England history in the process. Harry Kane = Star of the Match [emoji1628]
#EUROSOTM | #EURO2020 View attachment 1845320
Nilikwambia Denmark hapiti.Chamdomo naona kajipigia jamvi langu kwa makuti japo kwa huruma ya penati.
Sasa atakiona cha mtema kuni kwa wale wazee wa Azzurri
Shukran nawe pia kwa kutinga fainali tuombeane kheriGuasa Amboni nimekusahau...wewe ni shabiki pia mkubwa wa 3lions, hongera sana kamanda
BIbie kwema? hongera huwa unakitendea haki kitengo chako cha kuonyesha magoli hatukutoi hapo endelea kutupa burdanSafi kabisa. Tuwe tunaweka pamoja hivi inapendeza. Maana nililala
B
BIbie kwema? hongera huwa unakitendea haki kitengo chako cha kuonyesha magoli hatukutoi hapo endelea kutupa burdan
Cha kwako hichoKwema kabisa Guasa,Mzima huko ulipo?Haka ka kitengo kananipa burudani ndani ya JF. Shukrani
Wameonewa, ile haikuwa penati.Nilikwambia Denmark hapiti.
Chama langu halitaweza tena kutetea kombe la dunia
Mbona hawakulalamika refa huyuhuyu janaWaingereza wamelalamikia kitendo cha Marefa kuwa Wajerumani katika mpambano wao wa Robo Fainali dhidi ya Ukraine
View attachment 1837851