Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Mi nishafungua mvinyo hapa mkatoliki Italy2 England 1 na lazima timu moja itapata goli la penati.
Zimebaki dk 45, England kashajipatia goli lake, ngoja tuone Azzurri naye kama atayapata hayo magoli
 
Italy wanaupiga mwingi sana ila waingereza wapo makini na goli lao...I'm afraid hii ngoma inaweza kuwa ndo imeisha kama ile ya Simba na Yanga...ikitokea wakasawazisha wajukuu wa malkia wameisha.
Au kama ya Argentina X Brazil..masihara tu game inaisha ivo...sitak England washinde kwa sbb ya kelele na fujo zao lkn kama Italy asipokua makin mambo yatabak ivo ivo..tulisema hapa pengo la Spinnazolla ni kubwa sana angalia leo mbavu yake kule Emerson anacheza sindimba tu anaruka ruka tu na ndo wanapatumia kule kama kichochoro chao wkt wanashambulia.
 
Vijana wa malkia hapa wanacheza very tactical..wanacheza mpr wa jana wa Argentina wamepata goal wamestick kwnye plan ya kuAbsorb opponent pressure wakisbr wapate chance ya kufanya counter..Italy anakaz 2 had ss kwnz afunge goal hlf acheze kwa tahadhar goal zisiwe 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…