Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Nimependa jinsi wachezaji walivyojipanga kuwezesha mazingira yenye kulinda privacy za mgonjwa wakati akipatiwa huduma uwanjani.Hili tatizo lingetokea Nangwanda Sijaona au Kassim Majaliwa Stadium nafikiri hali ingekua sio hali. Ulaya Ulaya tu.
Nothing but respect for the Danish players for shielding Eriksen from Camera.Nimependa jinsi wachezaji walivyojipanga kuwezesha mazingira yenye kulinda privacy za mgonjwa wakati akipatiwa huduma uwanjani.
Huyu refa wa leo ndo yule aliechezesha uefa final?
Nimependa jinsi wachezaji walivyojipanga kuwezesha mazingira yenye kulinda privacy za mgonjwa wakati akipatiwa huduma uwanjani.
He is really underratedRomelu Lukaku has now scored in all four of his major tournament appearances for Belgium:
[emoji736] 2014 World Cup
[emoji736] 2016 Euros
[emoji736] 2018 World Cup
[emoji736] 2020 Euros
He’s Belgium’s all-time top scorer for a reason.
View attachment 1816609
Denmark wajipange mechi mbili zilizobakiFULL TIME. #DEN 0-1 #FIN
There are celebrations from the Finnish fans in the stands and the players on the pitch after a historic win for their side.
But after what happened to Christian Eriksen earlier, the result is ultimately secondary today.
#EURO2020
Ungeandika sentensi hiyo ya pili pekee ingeleta maana.Sio kulinda magonjwa, privacy za magonjwa huwezi zuia namna hiyo. Walifanya kitendo hicho ilikuzuia wapiga picha wasiweze kupiga picha mwili wa E rik
Ungeandika sentensi hiyo ya pili pekee ingeleta maana.
Mwenzao naye kawatia hofu, huenda hii gemu wangeondoka na pointDenmark wajipange mechi mbili zilizobaki
Denmark wajipange mechi mbili zilizobaki
Leo kwakweli hawakuwa na bahati. Denmark naifuatilia kwakuwa kuna Mdigo pale.Nothing but respect for the Danish players for shielding Eriksen from Camera.View attachment 1816625View attachment 1816626
Uefa final ipi? Kama ni ile ya Man City Vs Chelsea basi ndio yeye bwana Antonio Mateu.
Mchezaji kadondoka uwanjani matibabu mpaka pf3 kwanza 🤣🤣🤣🤣Huko mbona mbali, hapo Taifa tuu hali tete mixer kuombwa PF3 yaani bongo nyoso
Kichwa cha habari [emoji15][emoji15][emoji15]Matokeo kombe la UEFA Euro 2020 mechi ya Urusi vs Ubelgiji iliyomalizika muda mfupi uliopita
Full time
Belgium 3
Russia 0