Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Nimependa jinsi wachezaji walivyojipanga kuwezesha mazingira yenye kulinda privacy za mgonjwa wakati akipatiwa huduma uwanjani.Hili tatizo lingetokea Nangwanda Sijaona au Kassim Majaliwa Stadium nafikiri hali ingekua sio hali. Ulaya Ulaya tu.