Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Ah kwanza niseme pole sana wana england
Ah marehemu alikua na mdomo sana

Sema jambo ni la kusikitisha ila nmecheka nimeifumania clip huko mashabiki wa england wanatembeza kichapo kwa wa italiano hadi huruma😂😂😂😂😂

Anyway it went to rome
 
Tunaingia Rome sasa.
#MissionAcomplished
IMG_20210712_162618_196.jpg
 
Kwnz declare interest ww ni shabik wa cr7 hlf niendelee nianze kukuleta stats ss kwnn Messi anachukua tuzo ya 7..tusibishane kama wanywa kahawa vijiweni wkt mpr ni mchezo wa wazi na kila mtu anaona.
Leta stats hapa mkuu.....mfungaji bora wa ulaya ni Lewandowski haya uefa wamechukua chelsea, atletixo wamebeba la liga mbele ya Messi.....

Uero ndo italy....

Messi kabeba Copa america

je yeye kubeba tu Copa ni kigezo kuwa anastahili Tuzo?

Mbona kina mbappe walichukua ligi na world cup hawakupewa tuzo?

Mbona Varane alikusanya makombe 3 hakupewa tuzo?
 
Ndo maana nikakwambia Tena bora umezungumzia mbappe nilikua natak ujichanganye kwnye iyo hoja hapo..tuzo ya Ballon D'or sio mbeba makombe bora peke yake tuzo ile ni inahusisha individual nan alikua bora plus kusaidia team yake kwa kiwango kikubwa kuArchieve mataji..sasa naanza kukupa stats za kuback uo claim yangu..hlf na ww niletee za Lewa au Jorginho kua anastaili.
NOTE:Njoo na hoja zako zikiwa na numbers na ziwe na mashiko kuback up claim yako nan anastaili..sio kusema tu fulan apewe.
IMG_20210711_065202.jpg
View attachment 1850655
 
Ngj wakae hapo wajidanganye Messi iyo tuzo anachukua hata kabla ya misa ya kwnz..yan mapema kbs anaye bisha sawa..lkn kama kuna m2 anatk tufanye argument kwa stats au numbers aje tumlete Lewa tumlete Jorginho hlf tuweke na Messi hao si ndo contenders bas twende kaz tuArgue kwa facts sasa.
Unazungumzia stats gani ndugu yangu? Kama magoli lewandowski amemzidi, kama makombe basi Jorginho amemzidi apewe tuzo yeye kama nani??
IMG_20210712_174059_847.jpeg
 
Ndo maana nikakwambia Tena bora umezungumzia mbappe nilikua natak ujichanganye kwnye iyo hoja hapo..tuzo ya Ballon D'or sio mbeba makombe bora peke yake tuzo ile ni inahusisha individual nan alikua bora plus kusaidia team yake kwa kiwango kikubwa kuArchieve mataji..sasa naanza kukupa stats za kuback uo claim yangu..hlf na ww niletee za Lewa au Jorginho kua anastaili.
NOTE:Njoo na hoja zako zikiwa na numbers na ziwe na mashiko kuback up claim yako nan anastaili..sio kusema tu fulan apewe.View attachment 1850656View attachment 1850655
angalia hapo juu
 
Angalia izo Stats 2 nilizo kupa ni za ligi na Copa America..hlf ongeza na hii ya chini hapa overall hlf uniambie na zako ni zipi
kuna Hotuba moja alisema Sugu mbungen.."Men lie,Women lie but numbers Don't lie"

Hata kama humpendi Messi lkn jarb kua realistic na vi2 unavo argue navyo usilete hate wkt facts hata ukimpa m2 hajui mpr anaona kbs.

Wewe Mtu katika magoal 12 waliyofunga Argentina kwenye Copa America kahusika direct kwenye magoal 9/12..kawa Man Of the Match kwenye mechi 4 out 7 walizocheza..kaongoza kila stats kwenye michuano iyo kawa top scorer na top assist pa1 na kua mchezaj bora wa michuano bado unaona kua tuzo ya 7 hachukui..lbd unajipa moyo tu lkn mda utaongea.
20210711_061808.jpg
 
Unazungumzia stats gani ndugu yangu? Kama magoli lewandowski amemzidi, kama makombe basi Jorginho amemzidi apewe tuzo yeye kama nani??View attachment 1850661
Kumbe ww unajua tuzo ni magoal tu sio..bas ndo maana unaruka ruka na wa2 wawili mara Lewa mara Jorginho .

Sasa nianze na #Lewa zaid ya hcho kiatu cha dhahabu kafanya nn zaid kwenye Euro si team yake imetoka makundi mapema kbs hapo Messi team yake ni mabingwa na kaongoza kila ki2 kwnye Copa america.

Tuje kwa uliyemrukia Bwn Jorginho,huyu ndo sina hata cha kumzungumzia kwnz kumweka kwenye Sentensi za kua anaweza beba tuzo ya Ballon D'or ni criminal offense ambayo aliye isema angetakiwa kwenda mahakamani kujibu tuhuma..kwa sbb Jorginho hana kinachombeba tafuta hata namba zake kwnye midfield Kante ni bora mara 5.

Kiufup na lbd ningependa tu kukwambia kua Lewandowski alistaili kbs kubeba tuzo mwaka jana ambapo French Football Magazine ndo walifuta Sherehe izo za kutoa tuzo kwa kigezo cha Corona..nilijisikia vibaya sana kwa Lewa kutopewa ile tuzo mwaka jana kwa sbb alikua ana deserve more than 100% na had leo ntawalaum French Football Magazine kwa unyama ule waliomfanyia Lewa kumnyima tuzo 2020.

Lkn ili la mwkaa huu 2021 kusema eti lewa anastaili kwa sbb ya Golden Boot wkt mwaka huu vigezo kua Mama ni performance za wachezaj kwenye michuano ya Euro au Copa america na yy team yake ya poland ilikua ya mwsh na wakatoka Group stage ni rubbish talk kbs na hawez beba iyo tuzo.

Najua fans wa cr7 mnaumi lkn hakuna namna..mchezaj wenu atakua anavaa idadi ya tuzo za#Messi mgongon kwake had pale lbd Messi apate ya 8 na There is nothn you can do abt it.

I REST MY CASE LADIES&GENTLEMEN.
 
Mtu amecheza fainal 2 na amesaidia timu yake (chelsea na Italy) kutwaa makombe alafu unasema hanamsaada wowote hivi asingekuwa na msaada angetwa hizo ndoo?......

Jorginho anamsaada mkubwa kwa timu zake pia kama ni perfomance wise yeye ameperform ndio maana timu zake zimetwaa ubingwa tena ubingwa mmoja ni ule ambao Messi ameshindwa ufikia
Kumbe ww unajua tuzo ni magoal tu sio..bas ndo maana unaruka ruka na wa2 wawili mara Lewa mara Jorginho .

Sasa nianze na #Lewa zaid ya hcho kiatu cha dhahabu kafanya nn zaid kwenye Euro si team yake imetoka makundi mapema kbs hapo Messi team yake ni mabingwa na kaongoza kila ki2 kwnye Copa america.

Tuje kwa uliyemrukia Bwn Jorginho,huyu ndo sina hata cha kumzungumzia kwnz kumweka kwenye Sentensi za kua anaweza beba tuzo ya Ballon D'or ni criminal offense ambayo aliye isema angetakiwa kwenda mahakamani kujibu tuhuma..kwa sbb Jorginho hana kinachombeba tafuta hata namba zake kwnye midfield Kante ni bora mara 5.

Kiufup na lbd ningependa tu kukwambia kua Lewandowski alistaili kbs kubeba tuzo mwaka jana ambapo French Football Magazine ndo walifuta Sherehe izo za kutoa tuzo kwa kigezo cha Corona..nilijisikia vibaya sana kwa Lewa kutopewa ile tuzo mwaka jana kwa sbb alikua ana deserve more than 100% na had leo ntawalaum French Football Magazine kwa unyama ule waliomfanyia Lewa kumnyima tuzo 2020.

Lkn ili la mwkaa huu 2021 kusema eti lewa anastaili kwa sbb ya Golden Boot wkt mwaka huu vigezo kua Mama ni performance za wachezaj kwenye michuano ya Euro au Copa america na yy team yake ya poland ilikua ya mwsh na wakatoka Group stage ni rubbish talk kbs na hawez beba iyo tuzo.

Najua fans wa cr7 mnaumi lkn hakuna namna..mchezaj wenu atakua anavaa idadi ya tuzo za#Messi mgongon kwake had pale lbd Messi apate ya 8 na There is nothn you can do abt it.

I REST MY CASE LADIES&GENTLEMEN.
 
perfomance wise magoli ni ya msingi na kwenye magoli Lewandowski amemfunika Messi.....na katika achievement ya timu Messi anakombe la Copa america, ameshika nafasi ya tatu kwenye La liga huku Jorginho ameshika nafasi ya tatu na ameshinda Uero na Uefa.....
 
Leta stats hapa mkuu.....mfungaji bora wa ulaya ni Lewandowski haya uefa wamechukua chelsea, atletixo wamebeba la liga mbele ya Messi.....

Uero ndo italy....

Messi kabeba Copa america

je yeye kubeba tu Copa ni kigezo kuwa anastahili Tuzo?

Mbona kina mbappe walichukua ligi na world cup hawakupewa tuzo?

Mbona Varane alikusanya makombe 3 hakupewa tuzo?

Usibishane na wanaojua/watoa tuzo...mimi na wewe ni wale wale tuu....tuwaachie wenyewe. But kwa vision yangu Messi anachukua
 
Wewe muache yy si anaendekeza unazi wa cr7..anasema Jorginho amesaidia leta numbers bas amesaidia kwa maneno tu kwan stats hakuna..Messi kashinda Copa Del Rey Na Copa America..ss anatk kusema nn zaid
#TUSHAWAAMBIA MCHEZAJ WAO NDO ATAKUA ANABEBA IDADI TA TUZO ZA MESSI MGONGON KWAKE.
 
Back
Top Bottom