Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Jorginho anasitahili
Utakua mshabik wa cr7 unatafuta sehem ya kujificha sasa..anastaili kwa kubeba tu makombe sio..tuzo ni ya mchezaj bora individual nenda katafute stats za Messi mwaka huu hlf weka ameshinda na Kila ki2 kwny copa america ikiwemo na Kombe lenyew..hlf unaleta mambo ya anastaili njoo na stats sio kuback up tu kinazi kua anastaili
#MESSI NI SWALA LA MDA TU BALLON D'OR YAKE YA 7 ANAENDA CHUKUA NA HATERS UPANDE WA 2 YOU CAN DO NOTHN ABT IT.
 
Chawa wa messi bwana ..angejua kuna chawa wake bongo hapa antekutumia hata t shirt yake
Mbona kama umepanic mzee tafuta maji kunywa,hlf relax leta stats mpr sio mchezo wa chumbani kua unacheza wengne hawaoni stats zinaback up claim yng..anacopa america na copa del rey...na amekua bora sana mwaka huu na stats zinasema ivo..ss ww kama unahamu ya kubisha bishana kwa hoja...kama huna bas relax ulale.
 
Roberto Mancini
😍

FD317A8F-FE4D-42FA-8E5C-AD604763E350.jpeg
 
Jorginho anasitahili Ballon d'Or
Unajua nimegundua kitu, ingawa tunasema kuwa mashabiki wa England wana midomo ila na wa Italy nao ni walewale tu.

Kwahiyo Jorginho anastahili ballon d'Or kwa kupata ile penalt nusu fainali au? maana kama ni uwezo uwanjani katika haya mashindano hawezi kumgeukia hata CHIESA tu au INSGNE.

Hebu kuweni wastaraabu bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua mshabik wa cr7 unatafuta sehem ya kujificha sasa..anastaili kwa kubeba tu makombe sio..tuzo ni ya mchezaj bora individual nenda katafute stats za Messi mwaka huu hlf weka ameshinda na Kila ki2 kwny copa america ikiwemo na Kombe lenyew..hlf unaleta mambo ya anastaili njoo na stats sio kuback up tu kinazi kua anastaili
#MESSI NI SWALA LA MDA TU BALLON D'OR YAKE YA 7 ANAENDA CHUKUA NA HATERS UPANDE WA 2 YOU CAN DO NOTHN ABT IT.
Jorginho hastahili hii ballon d'Or, lakini amini usiamini hata Messi hata chukua hii tuzo mwaka huu regardless statistics inazotumia hapa.

Ni swala la muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom