Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

[emoji457] Great distribution throughout
[emoji123] Strong defensive display at 34
[emoji460]️ Scored the all-important equaliser

[emoji634] Italy hero Leonardo Bonucci = Star of the Match! [emoji1628]

[emoji848] Did you predict that?

#EUROSOTM | #EURO2020
IMG_20210712_011826_895.jpg
 
Mimi ni team italy niliingia kwenye michuano hii nikiwa sijipi nafasi sababu kikosi cha kawaida
Ila nilivyoangalia mechi za mzunguko wa kwanza tu nikawaambia watu Italy tunafika final maana tunacheza kama timu tofaut na wengine wanacheza majina
 
Nitapitia comment zenu kesho. Nikushukuru sana FORTALEZA kwa uzi mzuri uliotuweka hapa jukwaani kwa mwezi mzima. Mwifwa Chief-Mkwawa Pole sana jamaa yangu.
Tunashukuru tumepunguziwa kelele na wale chamdomo.

Nawapenda wote
Nawashukuru wazee wa Azzurri kwa kunitunzia imani yangu kwao.

Amepiga kazi nzuri sana.

Fozza Azzurri!
 
Mimi ni team italy niliingia kwenye michuano hii nikiwa sijipi nafasi sababu kikosi cha kawaida
Ila nilivyoangalia mechi za mzunguko wa kwanza tu nikawaambia watu Italy tunafika final maana tunacheza kama timu tofaut na wengine wanacheza majina
Tuonyeshee kadi
 
Back
Top Bottom