Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliona mbali sana !!Wale tuliowaona Italy wanajambo lao kabla hata ya kuanza michuano naomba tunyanyue glass tujipongeze kwa kupatia.
wazunguwawili na ChickMagnet na wengineo.
Vipi unakufa au unajikaza? Hahahaaa pole mwaisaUkufe kabisa. Hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mda ule ulikua unaongelea kuhusu saka nilikua sijakuelewa vzr asee huyu dg ni viazi kbs tena viazi vya ovyo.Nilisema hapa, huyu saka ni kama kiazi mmoja hapa bongo KASEKE[emoji23].
Mabishoo wote wamekosa, Southgate angewaamini tu walioianza game.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikawakumbusha hapa kuwa ni kitu gani wanakikusudia.Wengi hawajaitazama Italy mechi zake. Labda warudi tu hata kuangalia rekodi zake.
Jamaa wameunda timu asee. Naona wanaenda rudisha utawala wao tena.
Kwani mimi Muingereza. Mimi Mtanzania halisi.Vipi unakufa au unajikaza? Hahahaaa pole mwaisa
😹England hawawezi ku win kwenye penalts..Subiri huone wakina Rashford!!
Bora umekua muungwana umekubal.Nimekubali historia ya penati imetuhukumu, hongereni Italy
Hiyo HOME itakuwa typing error walimaanisha ROME nadhani😄MUNGU mkubwa katuepushia mbali na kelele za miaka karbia 10 ya kelele za hawa walevi wa team ya malkia.
#NATAKA WALE MASHABIK WA COMIN HOME MJE HAPA MTUAMBIE COMIN HOME MLIKUA MNAMAANISHA NINI ASA?
😂This is thing I don’t like. Sasa hivi wanawaingiza black players waende ku miss penalts iliwawalaumu weusi!
And prayers of the Pope himselfWembley imepooza kwelikweli hahahha chezea Italian Job wewe
😂Rashford is making me nervous
Ndo mpr lzm wawe abused racial yan lzm sbr tu asbh utasikia.Utasikia baadae unyanyapaa kuhusu Black players wa Egland waliokosa penalti.
Inauma sana aisee!. Rashford, Saka,
Kumamae