Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende man city vinginevyo ataimba mapambio sana.Tromphyless kane kazi anayo. [emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
Nilimuona tu[emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mda ule ulikua unaongelea kuhusu saka nilikua sijakuelewa vzr asee huyu dg ni viazi kbs tena viazi vya ovyo.
Hakika walimaanisha RomeHiyo HOME itakuwa typing error walimaanisha ROME nadhani[emoji1]
[emoji3525][emoji3525]England watanikumbuka[emoji26][emoji3516]Wameamia upande wa Bukayo
Hii sub ya Bukayo itawagharimu Sana England.
Anastahili mno. Grazie to him 👏Gianluigi Donnarumma mchezaji bora wa mashindano
🔥🔥🔥🔥Anastahili mno. Grazie to him 👏
[emoji3525][emoji26][emoji3516]Uyu Bukayo saka Ni uchochoro
[emoji3525][emoji26][emoji3516]Bukayo saka ni mchezaji levo za VPL
HahahaaaKwani mimi Muingereza. Mimi Mtanzania halisi.
Huyo mkoloni namchukia sana. Bora leo kapigwa. 😂😂😂
Wazungu watapata sababu za kuwatukana Hawa wamatumbi wennzetuumBlacks watatu wamekosa, wawili waliingizwa kwa ajili ya penalty but....
Kalale huko.Hahahaaa
Imekuja kuwaje tena? Umeanza kumchukia baada ya penalties au kabla?
Mjomba ake na Rashford... Compaford bana
Malizia kinywaji ukalale 😂 it's a game, either to fail, win or draw you've to accept both.