Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Wadau wangu wa hapa jukwaani, tumekuwa wote kwenye uzi huu kwa takribani mwezi mmoja sasa, dah kila lenye mwanzo halikosi mwisho!!!

Kufika mwisho kwa michuano hii, ndio mwisho wa uzi huu, tutaendelea kukutana katika nyuzi nyingine za michezo!!

Salute kwa wote tulioshirikiana hapa!

U are a living legend
 
We hu


We hujui Rashford already ni most racially abused athlete UK?

Man u ikifungwa Tu wanam abuse
Sasa ndo akose penalty na national team??
Waliokosa wote blacks au hukuona?
Ifike wakati tujiamini bila kuangalia rangi,ukiwa na mind ya kuhisi kubaguliwa kwa ajili ya rangi hata kitu kidogo utahisi unabaguliwa ,
 
[emoji1201] Cristiano Ronaldo
[emoji1201] Pepe
[emoji633] Fernando Torres
[emoji633] Juan Mata
[emoji1179] Ronald Koeman
[emoji1179] Hans van Breucklen
[emoji1179] Barry van Aerle
[emoji1179] Gerald Vanenburg
[emoji633] Luis Suárez

Jorginho becomes just the 10th player to win both the Champions League and European Championship in the same year [emoji471][emoji471]

#EURO2020
IMG_20210712_013907_946.jpg
 
Hii sura ya kocha imefanana na mwigizaji mmoja wa movie ya action ,kila nikivuta picha sijui namfananisha na nani,,by the way tuachane na hayo Kama ni matuta Italy leo atadaka jini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwenyewe huyu kocha wa English media ya wapiga penalt za kitoto,namfananisha na mwigizaji,CHUCK NORRIS.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom