Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
Kwangu Mimi anasitahili, nyie mnaoteseka na Messi na Ronald wapeni, lakini Mimi nimesema Jorginho anasitahili kaupiga mwingi Sana na kama Jana majeraha yale yangemtoa, Italy wangepoteza Mechi mapema kabsa.Mashabiki wa Penaldo mnatafuta kichaka cha kujifichia..hiyo anachukua Messi kwa mara ya 7 na hiyo 7 itakuwa mgongoni mwa CR7