Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

[emoji634] Donnarumma = national hero!
IMG_20210712_010436_536.jpg
 
MUNGU mkubwa katuepushia mbali na kelele za miaka karbia 10 ya kelele za hawa walevi wa team ya malkia.
#NATAKA WALE MASHABIK WA COMIN HOME MJE HAPA MTUAMBIE COMIN HOME MLIKUA MNAMAANISHA NINI ASA?
Hiyo HOME itakuwa typing error walimaanisha ROME nadhani😄
 
Back
Top Bottom