Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Kummmk kiungo wewe mbona nakupiga konzi moja tu unaogopa ku turn.
Sasa itaakua vita sio game tena, ball linatulizwa kifuan linachezwa mguuni, nikidokoa kwa kisigino nikimvesha mtu kanzu, nikikata funika funua kitu imooooooh. [emoji23][emoji23][emoji23]

Football niliipenda na ilinipenda vile tyuuh mitazamo hasi ya watu wangu wa karibu, bas nikaamua ku cancel.
 
Mpira ni vita ndugu juzi nilikuwa naangalia mechi ya Yanga U20 Vs Jkt U20 kuna kiungo mmoja wa Jkt alitawala Dimba ilikumpoza alikuja kupigwa Konzi moja wakati anakabwa alitulia mbona
 
Krychowiak, enzi anachipukia alitajwa kama mchezaji mwenye kipaji ambaye angekuja kutamba lakini kashindwa kuonyesha uwezo wake
Bongo tungesema misumari....
Ila n maisha tu ndio yalivyo....
Wakati kina ciro na vardy wanaanza kuzijua nyavu jioni wengine viwango vinayeyuka mapema tu kama kina emre mor,pato, na wenzao
 
Mpira ni vita ndugu juzi nilikuwa naangalia mechi ya Yanga U20 Vs Jkt U20 kuna kiungo mmoja wa Jkt alitawala Dimba ilikumpoza alikuja kupigwa Konzi moja wakati anakabwa alitulia mbona
Hilo kwenye mchezo inatokea na sio jambo la kushangaza, ila iwe km ajali tyuuh, na sio kupanga kabisa.
But sometimes huwa nawaza mengi San, ingekua bado nasakata kabumbu daaah, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…