Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Wafungwa kizembe sana, hata huyu kipa wa Uswizi naona naye ni mwepesi, yale mashuti yalikuwa ya kawaida ila yamempita
Unajua shida ilianza Euro 2016 pale Uefa ilipoongeza idadi ya timu shiriki toka 16 mpaka 24 sasa matokeo yake hadi timu chovu zinafuzu na kutuletea uzembe wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…