Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hawa belgium hawawezi kutoboa kwa Italy.Inabidi wapambane wasije kushika nafasi ya pili na kukutana na Italy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa belgium hawawezi kutoboa kwa Italy.Inabidi wapambane wasije kushika nafasi ya pili na kukutana na Italy
Hata kidogo wanakula 3Hawa belgium hawawezi kutoboa kwa Italy.
Matokeo yakibaki hivyo hivyo itakuwa kila mmoja ana nafasi ya kufuzuHawa belgium hawawezi kutoboa kwa Italy.
Hana match fitness kutokana na majerahaHivi yupo? Me nilifikiria labda ni majeruhi, huyu kocha anawezaje kumuacha mtu kama KDB nje?
Assist ya KDBThorgan Hazard anaiswazishia Ubeleshi
Fundi wa mpiraAssist ya KDB
Ulisema ukweli mkuu, KDB kaingia naona kidogo wamepata uhai pale katikati na kupata magoli mawili ingawa kwa uchezaji wao wanatakiwa kukaza sana.KDB akiingia second half mpira utabadilika
KBD kaweka kingine huko[emoji23]Hana match fitness kutokana na majeraha
Form is temporary but class is permanent🔥KBD kaweka kingine huko[emoji23]
Wameshida aiseeMmmh kwa huu mpira wa Belgium sioni wakitoboa hii mechi, wanashambuliwa sana.
Kweli mkuu, kashatupia la ushindiKDB akiingia second half mpira utabadilika