Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa timu kama macedonia inashiriki si utani huuUnajua shida ilianza Euro 2016 pale Uefa ilipoongeza idadi ya timu shiriki toka 16 mpaka 24 sasa matokeo yake hadi timu chovu zinafuzu na kutuletea uzembe wa hali ya juu
Uzoefu unamata sanaUlisema ukweli mkuu, KDB kaingia naona kidogo wamepata uhai pale katikati na kupata magoli mawili ingawa kwa uchezaji wao wanatakiwa kukaza sana.
Huwa namkubali sana anapokuwa fit 100% anakupa kile unachohitajiKweli mkuu, kashatupia la ushindi
HahahaSijaona timu za kusumbua France na German, Labda Italy kidogo
Mdogo wangu tulivoanza kufungwa mapema vile na hadi halftime hatujarudisha nikajua ndo imetoka mana mwanzomwanzo hakukuwa na mashambulizi ambayo yangefanya tupate bao kumbe tutakuja kufanya come back na kupata matokeo.[emoji1045] Bravo, Belgium! The second team to qualify for the Round of 16 [emoji3060]
#EURO2020 | #BEL
Naona mlikuwa na mahesabu marefu, kuanzia kumuombea Eriksen mnamo dk ya 10 bila kujali mlikuwa nyuma kwa bao moja.Mdogo wangu tulivoanza kufungwa mapema vile na hadi halftime hatujarudisha nikajua ndo imetoka mana mwanzomwanzo hakukuwa na mashambulizi ambayo yangefanya tupate bao kumbe tutakuja kufanya come back na kupata matokeo.
Ngoja tuelekeze nguvu kwenye hatua inayofuata sasa.
Macedonia nae kapu la magoli linamuhusu sana[emoji1179] Netherlands confirmed as Group C winners [emoji122]
Who'll finish 2nd?View attachment 1822374
Timu yawapiga kelele ipo dimbani leoLeo mechi zote za kisoro..