Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

[emoji408] #DEN 1-2 #BEL FT stats: Must be nice to have Eden Hazard and Kevin De Bruyne off the bench

IMG_20210617_210532_314.jpg
 
[emoji1045] Bravo, Belgium! The second team to qualify for the Round of 16 [emoji3060]

#EURO2020 | #BEL
Mdogo wangu tulivoanza kufungwa mapema vile na hadi halftime hatujarudisha nikajua ndo imetoka mana mwanzomwanzo hakukuwa na mashambulizi ambayo yangefanya tupate bao kumbe tutakuja kufanya come back na kupata matokeo.

Ngoja tuelekeze nguvu kwenye hatua inayofuata sasa.
 
Naona mlikuwa na mahesabu marefu, kuanzia kumuombea Eriksen mnamo dk ya 10 bila kujali mlikuwa nyuma kwa bao moja.

Mahesabu yenu hayo yaende mbali zaidi kwa hatua inayofuata.
 
Back
Top Bottom