OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Naomba link wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo will surprise you with hat-trick todayNever underestimate the Germans
Washatupiwa mbili Hawa wajukuu wa Vasco Dagama?Kuna Mipira ya moto moto inapigwa huku upande wa Ureno,ukigusa tu Wayaaa..nimesikitika sana.Own goals 2..kweli
Ingia www.hesgoal.comNaomba link wadau
Ureo team ya mabishoo na mashabiki wa unitedWashatupiwa mbili Hawa wajukuu wa Vasco Dagama?
Nakunya hapa nilipo Hadi CENTRALRonaldo will surprise you with hat-trick today
Ndio, own goal
Mkuu tunakusubiri unye muda si mrefu😀😀😀😀
Ureno afe tu 7Germany hawajafunga bado[emoji3][emoji3][emoji3] wamefanya kuchochea Beki za Portugal zinazalisha Magoli
Mafungu mafungu kabisaMkuu tunakusubiri unye muda si mrefu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio mbinu za kijasusi hizi. Wanaumia wao ushindi unabaki kwakoGermany hawajafunga bado[emoji3][emoji3][emoji3] wamefanya kuchochea Beki za Portugal zinazalisha Magoli
😀😀😀😀😀😀tena magoli mazuri mnoNdio mbinu za kijasusi hizi. Wanaumia wao ushindi unabaki kwako
Hii game inatakiwa German ashinde ili game za mwisho ziwe tamu.
Hahaha hii sio HungaryRonaldo will surprise you with hat-trick today
😀😀😀😀😀umekaa wapi Mkuu aisee nacheka mpaka nimetolewa Nje hapa na Sie Team Ronaldo Messi
Ureno Kafa 2-1Ngap uko mdau ..Hawa ureno Leo wafe ili mwisho uwe mtamu
Fundi Jamaa ila anaangushwa na Nduguze HamnazoRudger wa CHELSEA kalishwa kanzu na Cr7 kimadharau Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]