Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kai kasababisha own goal tamu sana ile ya kusawazisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tena magoli mazuri mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kai kasababisha own goal tamu sana ile ya kusawazisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tena magoli mazuri mno
Germany wadhaifu sana wakipigwa counter...,kama WC 2018.Hii game inatakiwa German ashinde ili game za mwisho ziwe tamu.
Maana kundi zima wanakuwa na otpion ya kufuzu.
Injinia somaaaa hiyooooRonaldo will surprise you with hat-trick today
Ureno kajiua 2-1, japo kwa sasa mjerumani kafunga 1, hivyo jumla ni Ger 3 Portugal 1.Ureno Kafa 2-1
Huyu KAI 😀😀😀😀😀Kai kasababisha own goal tamu sana ile ya kusawazisha
Kuna haka katoto kapo hapo Mbele..KAI hahaha..mdogo mdogo kama vile Babu yao alivyokuwa anawakaanga Jews😀😀Ujerumani hawana tambo, ila wanajua jinsi ya kufanya kazi iende💪🏻💪🏻💪🏻
Hell itselfGroup of Death at its peak
I agree with youGroup of Death at its peak
Nadhani umeiona kazi yake sasaHuyu KAI [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hungary mwenye point 1 nazani atapigana kufa na kupona kabisa, lakini Mjerumani najua atamalizia hasira zake paleI agree with you
Huyu ndio Mjerumani.4 uko