Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hungary ina historia nzuri kwenye Euro baina ya Ufaransa, wanastahili haya matokeoUfaransa wakikutana na timu inayopaki basi wanapata wakati mgumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hungary ina historia nzuri kwenye Euro baina ya Ufaransa, wanastahili haya matokeoUfaransa wakikutana na timu inayopaki basi wanapata wakati mgumu
Tena game ya mwisho wana Portugal wameshindwa kushinda leo sasa watastrugle kushindaFrance ni mambwiga ..wakizingua game ya mwisho wametoka
Cristian Ronaldo hajawahi kushinda mechi hata moja baina ya Ujerumani.Tusubiri game ya Portugal vs Germany .
Me Nampa Portugal ...
Za bure tena? Uliwafatilia hungary mechi zao za WCQ? Mimi hata ile mechi na portugal sikuibetia nilihofia portugal kuchapwa. Na waliteseka sana pamoja na ushindi waliopata.Wamezingua, wameacha point 2 za bure kabisa
Asee Ile game ilikuwa ni balaa halafu magoli ya Ukraine yaliliwa ni motoMkuu uliangalia mechi ya Netherlands vs Ukraine? Kwangu mimi nimeona ni moja ya mechi bora mpaka sasa
Kuna Mipira ya moto moto inapigwa huku upande wa Ureno,ukigusa tu Wayaaa..nimesikitika sana.Own goals 2..kweli
Beki za Portugal hazijatulia kabisa leo.mpira wa moto huu
Tumejifunga, tukifungwa tutasema tu.
Ngap uko mdau ..Hawa ureno Leo wafe ili mwisho uwe mtamuNever underestimate the Germans
[emoji23][emoji23][emoji23]Germany hawajafunga bado[emoji3][emoji3][emoji3] wamefanya kuchochea Beki za Portugal zinazalisha Magoli