Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Hii ikoje? magoli yote mawili Portugal wamejifunga na kuwabeba wajerumani! Ingekuwa ni bongo mechi ya Simba na Yanga nadhani hawa wangepewa ulinzi na polisi!!! Lakini kwa wenzetu wanampetipeti wakimfariji!
 
Back
Top Bottom