Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #81
oNawaona
France
England
Belgium
Italy
Benzema, Giroud, Pogba, Kante, TollisoWale waafrika wenzangu tunaowakilishwa na France tukutane hapa. Bila kubisha na bila kupepesa macho Ufaransa ataenda kuwa bingwa Tena was Euro.
#TeamFrance[emoji1086][emoji1086]
#TeamNgoloKante.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
#Singapore[emoji630][emoji630]
Tournament's favoritesBenzema, Giroud, Pogba, Kante, Tolliso
Ureeeeeeenoooooooooo
Uzoefu wao utawabeba sanasafu ya kiungo ya ya Italy inavutia, eneo lao la ulinzi linaundwa na wadamu wawili wenye uzoefu
Ila Italy nawapenda mm Sana aiseeeeSawa, shughuli inaanza leo
Natumaini itakuwa hivyo, kwa muda mrefu Italy ilikosa muingiliano wa damu mpya yenye vipaji hususani eneo la kiungo tokea waanze kuchoka pirlo na de rossi. Safu yao ya ushambuliaji pia ilikosa makali.Uzoefu wao utawabeba sana
Mwaka huu wana timu nzuriIla Italy nawapenda mm Sana aiseeee
Lorenzo Isigne ongeza hapoNatumaini itakuwa hivyo, kwa muda mrefu Italy ilikosa muingiliano wa damu mpya yenye vipaji hususani eneo la kiungo tokea waanze kuchoka pirlo na de rossi. Safu yao ya ushambuliaji pia ilikosa makali.
safu ya kingo ya Italy
Nicolo Barella - fundi anayekipiga Inter milan
Jorginho
Manuel Locatelli
Marco Verratti
Lakini unaweza ukafungwa hapohapo kwako ujue, Euro 1996 ilifanyika England wakatolewa nusu fainali na Ujerumani, lolote linaweza kutokeaTimu zisizo na uwezo zitafika mbali kwa sababu ya namna mashindano yanavyofanyika, mfano Uingereza watakuwa Wembley kwa mechi zao, wakifika mbali mechi zote za nusu fainali zitachezwa Wembley, hii itawapa motisha sana.
Wajukuu wa MalkiaThree Lions