Oho, hapo sawa mzee baba nimekuelewa.Calculation zimeprove kuwa kafuzu, ila mechi iliyobaki ndio itaamua nafasi atakayoanguaki(ama mshindi wa kundi, mshindi wa pili au best loser). Kwa hiyo lazima aangukie kwenye hizo nafasi
Kwa kweli...Portugal vs France itakuwa FireeeeLeo mtoto hatumwi dukani
itategemea huyu mwanadamu anayeitwa fernando santos ameamka vipiKwa kweli...Portugal vs France itakuwa Fireeee
Kwanini?itategemea huyu mwanadamu anayeitwa fernando santos ameamka vipi
hata akifungwa, atafuzu kama best loser.Ureno out
hata akifungwa, atafuzu kama best loser.
MABINGWA HAOSpain anamnyonga mtu huko