Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Spain ni wagumu lakini hata ukifuzu unakutana na France robo fainali.

Huna safari ndefu mkuu
Mkuu mpira wa Coatria umewona kweli au unaongea tu.! Sisi tunacheza kama hatujui vile yani kama hatumo seriyaz kabisa. Lakin mdogo mdogo tunatembea hadi final.
Umeona ile migoli ya Modrich na Le Capiteinee kwenye ile game dhidi ya Scotland??
 
Mkuu mpira wa Coatria umewona kweli au unaongea tu.! Sisi tunacheza kama hatujui vile yani kama hatumo seriyaz kabisa. Lakin mdogo mdogo tunatembea hadi final.
Umeona ile migoli ya Modrich na Le Capiteinee kwenye ile game dhidi ya Scotland??
Nimewaona dhidi ya England na Czech Rep. Timu yenu ni ya kawaida tu wachezaji wengi nyota wamezeeka na viwango vyao kushuka.

Binafsi sidhani kama utashinda dhidi ya Spain.
 
Kuna ilipigwa cross, Ronaldo akaruka juu kabla ya mpira kufika alipo, cha ajabu ulimkuta akiwa bado juu.

Kwenye header namkubali sana huyu mwamba.
Portugal tupo vizuri japo tuliikosakosa german kama hiviView attachment 1828156
Ametumia sana akili kuruka.
1. Ameanzia mbali kuruka ili aruke akiwa anaenda mbele huku akielea hewani wakati anasubiri mpira ufike.
2. Ameruka mapema ili kumzuia beki(Rudiger kama sikosei) kuruka ili asimnyang'anye mpira.

Huyu ni senior ana mbinu nyingi uwanjani!
 
Huu ndio mkeka wangu wa makuti ya Nazi.

Unafikiri kila mmoja hapa nimtendea hakiView attachment 1828567
Mkuu utakuja kuniambia, Hapo portugal na Italy umechemsha! Portugal atapita na atafika fainali. Pia Germany na Netherland umechemsha, Netherland atapita na fainali ni Porgugal na Netherland. Hapo kwenye fainali chochote kinaweza kutokea japo shilingi yangu naiweka kwa Portugal.
Ufaransa imejaza nyota wenye majina makubwa mno lakini hawajaonesha thamani ya majina hayo uwanjani. Mpaka sasa Mbape nyavu anaonea kwenye luninga tu!!
 
Kila mtu ana mtizamo wake, wewe unajaribu kutuaminisha kama una uhakika! Lets wait and see...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…