Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

World cup 2010, euro 2000 walikuwa waingie fainali bahati haikuwa yao nusu fainali dhidi ya Italy baada ya kukosa penati 2 ndani ya dakika 90.
Sawa,lakini kusema hao czech ni underdog si sahihi.wana rekodi yao kwenye haya mashindano ya euro. Wazee wa mikeka tunajua hili na wale risk taker wamekula mpunga leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilikuwa nawatetea Czech kwa waliokuwa wanawabeza. Czech wana historia kubwa na haya mashindano, zaidi hata ya mataifa kama England.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…