Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #1,641
Naunga mkono hojaReuben Dias ...huyu beki si mchezo
Kwangu ndo alikuwa star wa mchezo..
Belgium aliwafunika wale kina lukaku wote..
Yaani kukosa lile bao la mbali Belgium ilikuwa hawapati kitu ..
Beki kisiki kweli ..
Huyu jamaa hana nuksi na makombe balaaBruno Pennandes mweupe kabisa, hakuna alichofanya.
Hana uwezo wowote wa kulinganishwa na mafundi kama KdB
Daaahh, wamejikatia kipande chao mapema kikiwa bado kimenona.Mkeka unazidi kuliwa na panya tu mkuu. Portugal nao waneondoka na kipande chao cha mkeka
Naunga mkono hoja
Sure, wataliano wapo vizuri sanaBelgium atakufa mapema sana. Italy wanaupiga mwingi balaa. Wanapanda na kushuka kwa speed ya bombadear.
Jamaa anaupiga mwingi sana, ile tuzo kweli alistahili kupataReuben Dias ...huyu beki si mchezo
Kwangu ndo alikuwa star wa mchezo..
Belgium aliwafunika wale kina lukaku wote..
Yaani kukosa lile bao la mbali Belgium ilikuwa hawapati kitu ..
Beki kisiki kweli ..
Pennandes anashambuliwa huko twitter 🤣🤣🤣🤣🤣
Wanamwita con artist 😂😂
Hii timu ni overrated Sana kama France. Katika mashindano haya.Belgium wamepoteza control ya mchezo tangu KdB atolewe.
France wamekamilika wana quality mkuu, Belgium ukiwaondoa KdB na Hazard ni timu ya kawaida.Hii timu ni overrated Sana kama France. Katika mashindano haya.
Mbona Bruno amecheza vizuri sana Leo? Apart na mashuti yake ya kulenga mnazi ametengeneza chance za kutosha, dribble na pasi zenye macho. Na vyote hivyo akiwa out of position.Bruno Fernandez eti kuna watu walikuwa wanasema no Balon d or material..
Duh aibu sana
Mbona Bruno amecheza vizuri sana Leo? Apart na mashuti yake ya kulenga mnazi ametengeneza chance za kutosha, dribble na pasi zenye macho. Na vyote hivyo akiwa out of position.
Huyu kocha tu ana small team mentality, kumchezesha Bruno/silva/Felix kama mawinga na wote ni top playmakers kunatia mashaka.
Hapana lukaku Ali mbully sana Diaz, hata Goli lilipatikana badala ya Diaz kushindwa Physical battle na lukaku.Nilitegemea useme chochote kuhusu Dias..
Kama unakubaliana na mimi ndo man of the match ...
Hapana lukaku Ali mbully sana Diaz, hata Goli lilipatikana badala ya Diaz kushindwa Physical battle na lukaku.
Kwa Portugal man of the match wao ni Ronaldo nafasi za wazi ninazokumbuka haraka haraka 3 ametengeneza mbili kwa jota na moja kwa silva.
Ukitoa Ronaldo Renato sanchez kwa karibu anamfuatia, kaupiga mwingi sana, na yule beki wa pembeni wa Portugal Guerrero aliegongesha mwamba, jamaa anakaba na kushambulia vizuri.
Diaz was OK na pepe, ila Dalot kaniangusha sana, hasa kushindwa kuwa karibu na Hazard kwenye Goli.
Naweza kuwa bias Mkuu ila ngoja waanze kumwaga data nitafukunyua nilete humu.Duh
Utasema tumetazama mechi mbili tofauti