Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Con artist kiukweli..
Bila kina Pogba kumbeba hachezagi cha maana
Si kweli Mkuu, Bruno alicheza muda mwingi bila Pogba mwanzo wa msimu, na akavunja record za player of the month mfululizo toka ligi ianzishwe.

Tatizo la wa bongo wengi hamuangalii mpira kwa context Bali mnakariri.

Portugal wamecheza 4-3-3 mfumo huu hauna no 10 ina maana position ya Bruno haipo kabisa, ndio maana bruno alianza bench na hata alipoingia akatupwa kulia, huwezi ukamlaumu bruno ni maamuzi ya Kocha.

Mechi ya Hungary ambayo walicheza
4-2-3-1 bruno ndio alikabidhiwa no 10, mbona alicheza vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…