Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

hahah tuwasemehe tuu, wametiwa upofu na epl
Kuna kilaza mmoja niligongana nae kitaa majuzi anasema Italy hata nafasi ya 10 haipi.
Ushabiki wa EPL umewaharibu watu akili kwa kweli, yani wao hawaoni chochote nje ya ligi yao pendwa.
 
1. France( uamuzi wa kumrudisha Benzema utawapa dividends, maana walimkosa sana 2016)


2. Spain ( Morata anakosa sana magoli, tofauti na hapo jiwe lao sio la mchezo mchezo)
 
Back
Top Bottom