Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Spain had 17 shots in tonight's draw against Sweden, their highest tally in a major tournament game (European Championships + World Cup) without scoring since having 25 attempts against Switzerland in a group stage match at the 2010 World Cup. #EURO2020 #ESP #SWE
Hakuna timu hapo ni barca b hiyo hambebi kombe.
 
Yupo Bundesliga katika timu ya Bayer 04 Leverkusen, kabla ya hapo alikuwa Serie A ambapo ndoto zake zilianzia kwenye Liga 1(ligi ya nyumbani kwao)

Ana miaka 25 sasa, bado ana nafasi kubwa ya kushine
Nilikuwa simfaham ngoja nianze kumfuatilia
 
A message from Christian Eriksen.
[emoji3531]🤍

IMG_20210615_102328_404.jpg
IMG_20210615_102332_373.jpg
 
Wakati mwingine kutwaa kombe ni bahati zaidi kuliko kuwa na kikosi imara.. Naona messi zali hilo hana.. Argentina miaka yoote messi anazungukwa na wachezaji wazuri mnoo, ambao ukipeleka katika vikosi vingine hawakai benchi.. Si enzi za kina tevez, wala aguero ni kina dimaria, wala hii ya kina dyabala(diblo dibala)

Mwenzake ronaldo alibahatika kubeba euro na uefa nations akiwa kazungukwa na wachezaji wa kawaida.. Wengi wao vikosi vingine wasingeanza..

Netherlands ameshawahi kuwa na golden generations kama mbili hivi anaangukia pua..

Messi kakosa bahati.. Akiwa na national team kacheza fainali kama 3 hv, World cup na kwao 2 zote wamekufa, sitaki kuamini Argentina ile ilikosa wachezaji bora.

Messi ni kilaza, hizo nyengine ni porojo
 
Back
Top Bottom