OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Huyu jamaa anakipiga ligi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa anakipiga ligi gani?
Mwambie tu kisa ulikuwa ukicheza hupendi kuoga[emoji16]Kisa cha kukatazwa sio sahihi kuweka hapa, ila mbona mie sijatamba, nilikua namuelekeza mtu fulani ambaye inaonesha alikua anadhan sijui mambo ya football,
Mkuu uliweka? Mom nilipiga Mia tatu.Nasubiri mechi ya saa 4 niweke kilo
Yupo Bundesliga katika timu ya Bayer 04 Leverkusen, kabla ya hapo alikuwa Serie A ambapo ndoto zake zilianzia kwenye Liga 1(ligi ya nyumbani kwao)Huyu jamaa anakipiga ligi gani?
Uliweka Over au Under au Draw?Mkuu uliweka? Mom nilipiga Mia tatu.
Hakuna timu hapo ni barca b hiyo hambebi kombe.Spain had 17 shots in tonight's draw against Sweden, their highest tally in a major tournament game (European Championships + World Cup) without scoring since having 25 attempts against Switzerland in a group stage match at the 2010 World Cup. #EURO2020 #ESP #SWE
Mie nilipigwa maana hawakutoa kituMkuu uliweka? Mom nilipiga Mia tatu.
Dah Kama zali mkuu nilitupia draw mechi moja mzigo kilo ..possible win 315,790..[emoji23][emoji23]Uliweka Over au Under au Draw?
Nilikuwa simfaham ngoja nianze kumfuatiliaYupo Bundesliga katika timu ya Bayer 04 Leverkusen, kabla ya hapo alikuwa Serie A ambapo ndoto zake zilianzia kwenye Liga 1(ligi ya nyumbani kwao)
Ana miaka 25 sasa, bado ana nafasi kubwa ya kushine
Hongera sana mkuu, hiyo jero ya maji ya kandoro uitume kwenye namba yangu ile ile, hahahaaDah Kama zali mkuu nilitupia draw mechi moja mzigo kilo ..possible win 315,790..[emoji23][emoji23]
Sisi tunafuatilia sana EPL, angekuwa EPL ungekuwa una taarifa zake.Nilikuwa simfaham ngoja nianze kumfuatilia
Hahaha sawa mwanangu ..Leo hamna mechi zingine?Hongera sana mkuu, hiyo jero ya maji ya kandoro uitume kwenye namba yangu ile ile, hahahaa
Tupo group F sasa, group la kifo.Hahaha sawa mwanangu ..Leo hamna mechi zingine?
Saa moja usiku ipo Hungary vs PortugalHahaha sawa mwanangu ..Leo hamna mechi zingine?
Argentina pia wapo uwanjani coppa america..
Wakati mwingine kutwaa kombe ni bahati zaidi kuliko kuwa na kikosi imara.. Naona messi zali hilo hana.. Argentina miaka yoote messi anazungukwa na wachezaji wazuri mnoo, ambao ukipeleka katika vikosi vingine hawakai benchi.. Si enzi za kina tevez, wala aguero ni kina dimaria, wala hii ya kina dyabala(diblo dibala)
Mwenzake ronaldo alibahatika kubeba euro na uefa nations akiwa kazungukwa na wachezaji wa kawaida.. Wengi wao vikosi vingine wasingeanza..
Netherlands ameshawahi kuwa na golden generations kama mbili hivi anaangukia pua..
Messi kakosa bahati.. Akiwa na national team kacheza fainali kama 3 hv, World cup na kwao 2 zote wamekufa, sitaki kuamini Argentina ile ilikosa wachezaji bora.
Higuain alipewa pande akiwa kabaki yeye na kipa Neuer akapiga nje... kuna muda Messi huwa anapewa lawama ambazo hastahili
Dah Kama zali mkuu nilitupia draw mechi moja mzigo kilo ..possible win 315,790..[emoji23][emoji23]