Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Limekataliwa na VAR bwana. Ila hii VAR sometimes inaharibu utamu wa mpira.Naona wameweka cha kwanza[emoji2].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limekataliwa na VAR bwana. Ila hii VAR sometimes inaharibu utamu wa mpira.Naona wameweka cha kwanza[emoji2].
Lingine hiloLimekataliwa na VAR bwana. Ila hii VAR sometimes inaharibu utamu wa mpira.
Italy wako siriaz na kazi jamaniNgoja tusubiri moto wa Insigne na Immobile
Jamaa wako vizuri sanaWhat a goal for Italians
Assist mbiliIngawa umepaisha penatiView attachment 1820880
Jamhuri ya watu wa CongoHuyu Embolo asili yake ni wapi? Jamaa ni fighter sana
Uswizi ana nafasi ya kuwa best loser, Uturuki kashakuwa Malaya watu wanajipigia tu.FT' Italy 3-0 Uswizi
Wagange sasa kwenye mtoano, hapa washapitaItaly wako siriaz na kazi jamani
[emoji634] na [emoji1237] ngapi huko?Lingine hilo
[emoji23][emoji23][emoji23]Uswizi ana nafasi ya kuwa best loser, Uturuki kashakuwa Malaya watu wanajipigia tu.
Duuuh kimeumana.FT' Italy 3-0 Uswizi
HatariiiiiDuuuh kimeumana.
Wagange sasa kwenye mtoano, hapa washapita