Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Portugal always are loser at the best..fuk [emoji43][emoji43][emoji43]
 
HT: #GER 0-1 #HUN
HT: #POR 1-1 #FRA

With 45 minutes remaining, everything is still to play for in Group F [emoji2962]

As it stands, #GER will be knocked out and #POR will play #ENG in the Round of 16 [emoji897]

#EURO2020 View attachment 1828019
Nadhani leo mmewaheshimu Portugal, kuna watu humu waliwadharau sana.

Hata ile mechi yao na Germany kilichowaangusha ni beki kukosa utulivu tu kipindi cha kwanza, vinginevyo ilikuwa ni 2-2.
 
Here we go

589B5B97-E382-452C-9153-B24084FCE935.jpeg
 
Chama langu France Lina mapungufu makubwa licha ya utajiri mkubwa wa wachezaji tulio nao yaani Portugal ndo ya kutukimbiza hivi???
Portugal unawachukulia poa eeh? Au zile own goal sikuile ziliwafanya muwaone vibonde? [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom