Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Mbona kama jamaa wanataka kutuchelewesha kulala?
Wakati kesho j3[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama jamaa wanataka kutuchelewesha kulala?
Sema Lukaku control yake shida sana
Hahahha Euro haijaisha lakiniTeam portugal tumepigwa narudi zangu Man U na R madrid
HahahahNampa nafasi Portugal.
ChaliMkuu utakuja kuniambia, Hapo portugal na Italy umechemsha! Portugal atapita na atafika fainali. Pia Germany na Netherland umechemsha, Netherland atapita na fainali ni Porgugal na Netherland. Hapo kwenye fainali chochote kinaweza kutokea japo shilingi yangu naiweka kwa Portugal.
Ufaransa imejaza nyota wenye majina makubwa mno lakini hawajaonesha thamani ya majina hayo uwanjani. Mpaka sasa Mbape nyavu anaonea kwenye luninga tu!!
Belgium atakufa mapema sana. Italy wanaupiga mwingi balaa. Wanapanda na kushuka kwa speed ya bombadear.Robo Fainali ni
Italy Vs Belgium
Mtoe Portugal hapoFrance 🇫🇷, Portugal 🇵🇹 , Italy 🇮🇹 and UK 🇬🇧
Rudi walau uje kutusabahi 😂😂Mkuu utakuja kuniambia, Hapo portugal na Italy umechemsha! Portugal atapita na atafika fainali. Pia Germany na Netherland umechemsha, Netherland atapita na fainali ni Porgugal na Netherland. Hapo kwenye fainali chochote kinaweza kutokea japo shilingi yangu naiweka kwa Portugal.
Ufaransa imejaza nyota wenye majina makubwa mno lakini hawajaonesha thamani ya majina hayo uwanjani. Mpaka sasa Mbape nyavu anaonea kwenye luninga tu!!
Mpira dakika 90Belgium atakufa mapema sana. Italy wanaupiga mwingi balaa. Wanapanda na kushuka kwa speed ya bombadear.
Mkeka unazidi kuliwa na panya tu mkuu. Portugal nao waneondoka na kipande chao cha mkekaHongereni Czech Republic mumenisuprise sana kwa kumega mkeka wanguView attachment 1832602
Kwenye Euro amekuwa mchezaji wa kawaida sanaBruno Fernandez eti kuna watu walikuwa wanasema no Balon d or material..
Duh aibu sana