Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Haya wale team ufaransa usiku mwema

F5F971A6-1E5E-4CA0-8669-31CBAD5C524F.jpeg
 
Switzerland Wamecheza vizuri sana aiseh yule zuber aliesababisha goli la kwanza na penalty ana passion kubwa, Xhaka nimemuangalia hadi nikaemda uzi wa Arsenal kuwakumbusha wakumuuza kwensa Roma wanampoteza mpambanaji........ Walicheza utafikiri mabingwa, hawakuwa na hofu hata walipokuwa nyuma 3 - 1, hawana cha kupoteza.....

Kocha wa Switzerland aiseh anafundisha mpira sub zote zimeleta matokeo hata sub ya dakika ya 86 nusura ifunge goli stoppage time pale.....hongera kwake tactically wamewapoteza sana france......
 
Italy huyuhuyu aliepumulia mashine kwa Australia? Mkuu nakwambia hawa giants wengi wataaga kea vitimu vidogovidogo, mwenye siku nyingi kwenye Euro labda Belgium.
Jamaa wanasakata kabumbu balaa sema nao Australia wako vzr kama ulivosema underdogs wanahamgaisha magiants.
Infact mpira wa ulaya wa sasa levwl nyingne, hakuna timu ndogo.
 
Back
Top Bottom